Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Zari keshabandika ua lake na kajiondokea kwenye mahusiano tata so ujinga wake uko wapi?
Hao wote Hamisa, Wema, Zari, Diamond ni wajinga tu, Sipendi vile Dai anatumia udhaifu wa hawa wanawake kuwafanya chochote anachojisikia.... Ila kwa upande wa pili nastaajabu sana viwango vya kutojielewa vya hawa wanawake.... Ni viwango vikubwa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu ambaye anaweza kushukuru nyimbo yake mmesikiliza watu200k huku yy akiupromote wimbo wa mwanaume alomuacha wakat huyo mwanaume yy anamuita side chick namtoto walozaa anamuita side kid hiyo ndomana halisi ya pugi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani numbisa nakupendaga hapa tu .....upo vizuri mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anampenda Zari interview ya USA iliyozunguka tangu jana imeonyesha. Majutooooooooo

Si uliona firaha akiwa SA?
Angempenda angemuoa sio kumzini kwa kipindi chote hichoo na kumuacha vile!
Interview ni kujikosha tu yaani yule kaka ni laghai na Zari ashamjua kamchoka kwa kumdhalilisha kule alijua Zari ni kama kina wema Leo wanaachwa kesho wanarudiwa ila kwa mapenzi hana hata Moja daimond ni mjanja anadata na biti!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa JF bana kila mtu anajiona perfect ana akili kuliko Hamisa,wengine tunawajua majina yenu halisi,hadi nyumbani kwenu,kuna mmoja hapa na
ona yuko mstari wa mbele kuponda but nikisema lile tukio la aibu lililokukuta juzi unaweza kuihama JF,msiwe wepesi wa kuhukumu ilihali wewe ndo umeoza kweli kweli.

Acha kutishia watu huna lolote zaidi ya wivu. Kama wewe wa uliposema tuli lia ujiongeze
 
mtu ambaye anaweza kushukuru nyimbo yake mmesikiliza watu200k huku yy akiupromote wimbo wa mwanaume alomuacha wakat huyo mwanaume yy anamuita side chick namtoto walozaa anamuita side kid hiyo ndomana halisi ya pugi😂😂😂😂

Ile ilikuwa ya milembe
Alitaka kuonyesha kama wapo wote.. kumbe eee
 
Back
Top Bottom