Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
KWA wanamitindo wakali Bongo, Hamisa Mobeto ni moja kati ya warembo ambao wanafanya vizuri na kusumbua kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kazi zake na skendo za hapa na pale.
Lakini kiki kubwa kabisa iliyompaisha ni kuzaa na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mrembo huyo alizaa na Diamond wakati mkali huyo alipokuwa kwenye uhusiano mzito na mjasiriamali wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ambaye naye amezaa naye watoto wawili.’

Ishu ilikuwa hot sana na kuzua tafrani ya aina yake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Kwenye mitindo Mobeto ameshawahi kushinda tuzo kadhaa nje ya nchi, ikiwemo Tuzo za Starqt kutoka pande za Johannesburg, Afrika Kusini katika kipengele cha Chaguo la Watu.

Pamoja na kufanya shughuli mbalimbali za mitindo, mrembo huyu anamiliki duka lake la nguo lililopo maeneo ya Kijitonyama jijini Dar. Amani limepata nafasi ya kufanya naye mahojiano kuhusiana na mambo mbalimbali yanayomhusu. Karibu uyasome:

Unafanya vizuri katika kazi zako lakini umekuwa ukipondwa sana kwenye mitandao ya kijamii, unafikiri tatizo ni nini?

Unajua kila king’aacho hakiwezi kosa changamoto hasa ukiwa unang’aa sana kuliko mtu mwingine. Mimi huwa sijali, maana naamini ukiona unaongelewa sana jua kuna mazuri mengi unayoyafanya yanawaogopesha wengine kiasi cha kuwafanya wakuandame.

Kama hauna kizuri basi hakuna mtu atakaye kuongelea. Kwa hiyo hizo changamoto zinanifanya nijue kumbe nafanya vizuri na pia zinanijenga kwa namna moja au nyingine ili kuweza kufanya vitu vingi na vizuri zaidi.

Ushawahi kufikiria labda kuwachukulia hatua za kisheria, maana wanakuharibia biashara na heshima yako mbele ya jamii. Kuna wakati nakaa kimya lakini inapozidi huwa nachukua hatua, kwa mfano hivi karibuni kuna mtu alinitukana kwenye ukurasa wake wa Instagram, amekamatwa, natumaini kwa sababu tuna sheria ya makosa ya mitandao na wengine wapenda matusi nitaendelea kuwachukulia hatua.

Umekuwa na uhusiano na Diamond mpaka mmezaa mtoto nje ya ndoa; je, mzazi mwezio huyo akileta mahari utakubali kuolewa naye.

NDIYO NITAKUBALI.

Mbona umekubali haraka namna hiyo, kwani hakuna mwanaume mwingine aliyewahi kuja kutaka kukuoa? Wapo wengi tu ambao wamekuja kutaka kutoa posa lakini kuoana na mtu mnatakiwa muwe na ‘chemistry’ moja, mimi na Diamond tushakuwa na mtoto, lakini nina mwingine pia kama alivyo yeye.

Unadhani kigezo cha kuwa na mtoto naye kinatosha kuwa sababu ya kukubali kuolewa na Diamond? Kinachochea; lakini mpaka yawepo makubalino mengine kwamba atakuwa tayari kulea watoto wote bila kuwabagua, akikubali kwangu hakuna shida.

Vipi kuhusu makwazo yoyote, hakuna linalokusumbua kiasi cha kuutilia shaka uaminifu wa Diamond. Makosa yapo lakini hayo naweza kuyaangalia mbele lakini siyo kwa sasa, kama ni mtu mwenye nia njema na mimi ataonekana.

Mbali na kulea mtoto kuna uhusiano wowote ambao unaendelea kati yako na yeye?

Hahaha! Siwezi kujibu hilo.

Kwa nini huwezi kujibu unaogopa kitu gani?

Kwa sababu ni mambo binafsi sana hayo, siwezi kuyaweka hadharani.

Kuna maneno watu wanasema kwamba hupendi kukosolewa; mtu akikukosoa basi ‘unamfungia vioo’ kwa ‘kumblock’ au kumuondoa kwenye kundi la marafiki zako mitandaoni?

Sijawahi wafanya hivyo bila sababu, wanashindwa tu kuongea ukweli. Sasa kama mtu kila siku anakuja kwenye ukurasa wangu kunitukana, mtu kama huyo mimi wa nini sasa? Si bora nimblock; ya nini nimwache mtu kama ananipa kero?

Nimalizie kwa swali hili, hivi ile sauti inayosikika kwenye wimbo wa Jibebe (I like it) wa Diamond ni yako?

Hahah! Jamani si mkamuulize mwenyewe Diamond mimi siyo nafasi yangu kulizungumzia hilo.

Asante kwa muda wako Mobeto.

Asante karibu tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi abbreviation zenu zinatutia majaribuni. My lady neighbour kaniandikia,

Lady: Can I have your DIC 4 MY ASS.
Mimi: But I DNT HV CONDOMS.
Lady: What? I mean, can I have your dictionary for my assignment?

Hapa nilipo natafuta kamba nijinyonge
 
Ushauri wa bure kwa chuchunge na timu yake

Relationship zikikushinda
Unaeza jaribu ship zingine kama
Internship ama fellowship


Dear ladies Flat Ass is caused by sitting in a relationship that is not yoursdont argue with me am not your father
 
Side chick side kid, wanaume sometimes
Pole hamisa
Hamisa hapo ndo anapofeli nampenda sana tu ila kumpa ukweli masti kwa mtu anaejielewa hawezi kujibu kirahisi hvyoo!hawa wanawake sijui mondi anawapa nini!

Mpk wanakubali kudhalilishwa hivi yaani penny tu ndo alisimama imara!wengine wote zeros kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliiona,kuna siku alipost anajishebedua kwa wimbo wa jibebe,jana kaitwa sidechick na mwanae sidekid akaifuta video ya jibebe. Timu yake inamsifia anapendwa yeye zaidi kuliko wengine nae kichwa kinamjaa.Akome madam.zero
Ameiskia interview ya mondi lakini au anaweweseka tu.....hivi yule Dada ni lini atakubali kuacha kudhalilika....hivi ni kwanini asimg'ang'anie majizo mpk akomae na mondi ambae kila uchwao anamdharirisha....Jana kaitwa sidechick huko na huyo mondi wake akiona ile interview sijui atajichukuliaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliiona,kuna siku alipost anajishebedua kwa wimbo wa jibebe,jana kaitwa sidechick na mwanae sidekid akaifuta video ya jibebe. Timu yake inamsifia anapendwa yeye zaidi kuliko wengine nae kichwa kinamjaa.Akome madam.zero
Yule kumbe kupata zero form 4 ilikua haki yake kabisaaa kichwa maji kile.....eti team inamwambia unapendwa na yeye anakubali tu tatizo ni limbukeni yule dogo anaona kama ameokota dodo chini ya mwarobaini ......nimemhurumia alivyokua anajishebedua na kale ka wimbo ka jibebe Mara paaap anaitwa sidechick na mtoto side kid mweeeeeeeeeh akomage tenaaa......basi siku si nyingi utaona anajitia tena kiherehere sijui ubongo wake umeozaaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga walishasema mbwa ukishamjua jina haina haja ya kutumia nguvu just call bobby bobby ana kufuata,na dai keshamjulia hamisa anampelekesha atakavyo. Binti angekubali yaishe akamuomba msamaha mama dai kwa alichomkosea kisha akajiweka kando na madrama ili mwanae asidhalilishwe zaidi
Yule kumbe kupata zero form 4 ilikua haki yake kabisaaa kichwa maji kile.....eti team inamwambia unapendwa na yeye anakubali tu tatizo ni limbukeni yule dogo anaona kama ameokota dodo chini ya mwarobaini ......nimemhurumia alivyokua anajishebedua na kale ka wimbo ka jibebe Mara paaap anaitwa sidechick na mtoto side kid mweeeeeeeeeh akomage tenaaa......basi siku si nyingi utaona anajitia tena kiherehere sijui ubongo wake umeozaaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga walishasema mbwa ukishamjua jina haina haja ya kutumia nguvu just call bobby bobby ana kufuata,na dai keshamjulia hamisa anampelekesha atakavyo. Binti angekubali yaishe akamuomba msamaha mama dai kwa alichomkosea kisha akajiweka kando na madrama ili mwanae asidhalilishwe zaidi
Kabisaaa ...sema ndo vile ana kiburi haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure kwa chuchunge na timu yake

Relationship zikikushinda
Unaeza jaribu ship zingine kama
Internship ama fellowship


Dear ladies Flat Ass is caused by sitting in a relationship that is not yoursdont argue with me am not your father
Kwa mabango yale ya jana bado anajipa matumaini????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom