The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,522
No am sorryLets go from la liga to epl even UEFA am ready shosti
I don't have that energy maam
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No am sorryLets go from la liga to epl even UEFA am ready shosti
Hukeri mama nipo upande wako ....Mimi ni team zari Leo na kesho peponi ........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilidhan nakera kumbe nipo vizuri naona watu wanalalamika pemben oooho kuna mtu anamsema hamisa na mwanae mara mwingine anatishia kuanika majina aiseeee
Mwingine side chick mwingine kima wanajipeleka kwa nyege zao wenyewe kaah!nimechoka nakumbuka ashawahi sema yule South Africa,yeye bado kijana hajaoa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna aliyeitwa kima leo huyu diamond hapana jamani anawadhalilisha mababy mama zake woiiiiiii
Mimi refa ....lakini Nina teamLets go from la liga to epl even UEFA am ready shosti
Hawana ndoa bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuacheni utimu my coco Sema hawezi kumtukana Zari kwa kua anajua Zari ni mjanja anajua sheria zoteee!akijifanya nundaa atashtakiwa kwa defamation na vitu kama hvyoo! kwa kuoa bado kabisa!!Walifunga ndoa. Na mwimbo ulitolewa. Bisahara mengine ufichwa
Ni mkewe Zari
Sasa wameachana ndio maana hana nyodo
Hapana unakosea sanaMwingine side chick mwingine kima wanajipeleka kwa nyege zao wenyewe kaah!nimechoka nakumbuka ashawahi sema yule South Africa,yeye bado kijana hajaoa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanamke yoyote wa daimond ni kama wehu vile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Angempenda angemuoa sio kumzini kwa kipindi chote hichoo na kumuacha vile!
Interview ni kujikosha tu yaani yule kaka ni laghai na Zari ashamjua kamchoka kwa kumdhalilisha kule alijua Zari ni kama kina wema Leo wanaachwa kesho wanarudiwa ila kwa mapenzi hana hata Moja daimond ni mjanja anadata na biti!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa maumivu aliyojitaftia yatamtesa had uzeeni, hata Zari pia wema has nothing to lose hajazaa naye.
Kima Zari bwanaa ndo aliyelalamika BBC kua sababu ya kumuachana ni kushikana shikana na kina Wema!alivyompigia simu hakupokea daimondHamisa
Simu na ujumbe anamsumbua sana na kamuaribia mengi.
Hihihihihihihih nakaoneaga huruma kanavyojishongondoa ....hamwoni mwenzie zee yuko busy kusaka mahela na Jana ametuthibitishia yuko single kupitia insta story yake .....akubali tu kumove on naeeeee lolIle ilikuwa ya milembe
Alitaka kuonyesha kama wapo wote.. kumbe eee
Hawana ndoa bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuacheni utimu my coco Sema hawezi kumtukana Zari kwa kua anajua Zari ni mjanja anajua sheria zoteee!akijifanya nundaa atashtakiwa kwa defamation na vitu kama hvyoo! kwa kuoa bado kabisa!!
Aliolewa kwenye iyena wanawake wakiwa na daimond wote akili zao zinafanana mpk wazinduliwee!Sio hamisa,Zari,Penny, Jokate wala Wema
Sent using Jamii Forums mobile app
Dear Hamna mwenye wivu na Zari ila huo ndo ukweli wote wajinga kukubali kudhalilishwaAcha wivu kwa Zari.
Mwanamke huwezi mbadilisha mhuni au asiyejiheshimu, ni mpaka yeye aamue lohNaona hamisa ana apply ile mapenzi uvumilivu atabadilika maisha kupanda na kushuka misukosuko ya mahusiano kubali yote kama wanawake wa zamani ila jamani hadi kutukaniwa mtoto hapana hiyo ni nehiiiiiii uzuzu wa kiwango cha mwendokasi
Hahaaa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapenzi kama yote plus vile South hukoooNo anampenda sana bosslady
Kamwoa kamjengea nyumba
They live together
A very happy family
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ndio shida ya dyudyu jamani mbona wanawake wazuri sana kwa nn wasimgomeeMwingine side chick mwingine kima wanajipeleka kwa nyege zao wenyewe kaah!nimechoka nakumbuka ashawahi sema yule South Africa,yeye bado kijana hajaoa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanamke yoyote wa daimond ni kama wehu vile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana unakosea sana
Anampenda sana embe bichi zari
Amefunga naye ndoa
Anamweshimu
Amemnunulia nyumba na gari
Pugi ndo alimbaka dimondo hadi mimba
Hahahahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaahaaa!!!ndoa mchezoo coco ile ni shooting tuu!Zari angeolewa daimond angekua ameshafilisiwa muda mrefu sana!weka utimu pembeni daimond hajawahi oaaa!!!Walifunga ndoa tayari. Sirudii kueleza
Mwimbo mnao pia uleeeeeeee wa hiyo siku
Seems diamond alienda kwa Zari kumbembeleza ampe k sasa Zari kamnyima ndo Diamond katoa video akiwa na wema. Anavowazalilisha tu inaonyesha hana Amani so ndo anafikiri akifanya HVO anajipunguzia maumivu.Alidhan kwkwenda ake sauzi na shopping juu atashobokewa badala yake wakampotezea,mihasira kaja kuivujisha interview
Hahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kamuoa watu wanajipa moyo kweliiHapana unakosea sana
Anampenda sana embe bichi zari
Amefunga naye ndoa
Anamweshimu
Amemnunulia nyumba na gari
Pugi ndo alimbaka dimondo hadi mimba
Hahahahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app