Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi!
Jumatatu kuanzia saa saba mchana Ndug Hamisa Mabeto atafunguka kupitia Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL!Hii.imekuja baada ya mzazi mwenzie Diamond Platinumz kufunguka wazi na kueleza mengi kuhusu wao na kumkana hadharani japo alimkubali mtoto...
Moja ya mambo yaliyo mkera Hamisa ni kitendo cha Diamond kusema hawakuwa na ahadi yeyote ile wakati ukweli ni kwamba Diamond Platinumz alimuahidi kumuoa kabisa na ndio maana alikubali kutembea nae na anasema Diamond alisema anampenda yeye kuliko Zari!

Pamoja na hilo Hamisa anakuja kukanusha kuhusu mambo mengi aliyo yasema Diamond hasa ya kusema alikuwa anampa kila siku elfu 70+ na kumkubali mtoto toka mwanzo...jambo ambalo Hamisa anasema ni urongo...

Sasa anasema jumatatu atasema mengi na atasema kila kitu na kuhusu aliyekuwa ana record video zao na aliyekuwa ana husika kuzivujisha....

Wana jamvi naomba niishie hapa na tusubiri jumatatu saa 7 clouds Fm.

NB: Huu unaweza kuwa mwaka mbaya kwa Diamond maana Hamisa anakuja kumwaga mboga na kutoboa masufuria kabisa...
Wale ambao hampendi habari za Diamond na Zari nawashauri.msitumie Smart phone mpaka mwakani maana hii iliyobaki ni ya habari zao tuuu...

Wasalaam...

Updates...
Hamisa amekacha interview!
 
Hivi kuolewa nako ni deni?!

Kumbe Diamond yupo sahihi kusema "no matter what, siwezi kuachana na Zari!" Manake best option katu haiwezi kuwa mwanamke anayepigania ndoa manake hiyo nayo ni dalili ya kutaka kuifanya ndoa ndio mtaji wake!!!

Mwanamke anayejitambua na kujiamini tena katika umri mdogo kama wa Hamisa, katu kuahidiwa ndoa hakuwezi kuwa hoja ya kujadili hadharani kwamba "aliniahidi ndoa."

Hapa sasa naanza kuuona ukweli wa aliyosema Diamond kwamba Hamisa alikuwa anamfanyia vitimbi Zari kwakuwa aliahidiwa ndoa!

Hivi mpaka leo hii hafahamu kwamba kati ya 100% ya wanaume ambao hawajaoa, zaidi ya 75% wameshawahi kuahidi ndoa?
 
Hivi kuolewa nako ni deni?!

Kumbe Diamond yupo sahihi kusema "no matter what, siwezi kuachana na Zari!" Manake best option katu haiwezi kuwa mwanamke anaypigania ndoa manake hiyo nayo ni dalili ya kutaka kuifanya ndoa ndio mtaji wako!!!

Mwanamke anayejitambua na kujiamini tena katika umri mdogo kama wa Hamisa, katu kuahidiwa ndoa hakuwezi kuwa hoja ya kujadili hadharani kwamba "aliniahidi ndoa."

Hapa sasa naanza kuuona ukweli wa aliyosema Diamond kwamba Hamisa alikuwa anamfanyia vitimbi Zari kwakuwa aliahidiwa ndoa!

Hivi mpaka leo hii hafahamu kwamba kati ya 100% ya wanaume ambao hawajaoa, zaidi ya 75% wameshawahi kuahidi ndoa?
Hahahaha kumbea Ndoa ni tamu sana....! Hakika hili jambo naliona likifika mahakama ya kisutu....
 
Are you looking for job!!? Here is the right place for you, follow the link for the latest jobs posts updated every day
https://www.ajiriwa.net/browse-jobs.php
Mkuu asante lakini umekosea jukwaa haya mambo yanayo husu watafuta yana jukwaa lake kabisa nenda kawawekee huko...! Hapa ni pa vitimbi vya wakubwa na mastaa....
Karibu sana Jf...
 
Hahahaha kumbea Ndoa ni tamu sana....! Hakika hili jambo naliona likifika mahakama ya kisutu....
Hahahahaa!! Sasa litafika mahakama ya Kisutu kwa mashitaka yapi?! Kwamba aliahidiwa ndoa, au?! Bila shaka hiyo itakuwa ni kesi ya karne!!!!

Jambo linaloweza kufika Kisutu labda suala la child support! Mbaya zaidi Diamond ameshasema anatoa 200K kwa mwezi ambayo ni more than 100% above legal amount!! Na Diamond akisema anatoa above legal amount naweza kukubali kwa sababu, the guy anajua sana ku-care!
 
Back
Top Bottom