Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

MSISAHAU KUWA SHERIA YA MTOTO WA AFRIKA YA MWAKA 2009 INAMPA HAKI MTOTO YA KUTUMIA MALI ZA WAZAZ WAKE KWA KADRI ANAVYOHTAJI NA KUPATA HUDUMA ZOTE KUTOKA KWA WAZAZI WAKE.. HVYO HUYO MTOTO HATA AKITAKA KWENDA KUISH KWA DIAMOND NI HAKI YAKE NA HAITAJI KUSUMBULIWA..

DIAMOND HUU MZGO NI WAKO UBEBE KAMA WA WATOTO WENGNE
 
Juzi tulikua busy na mond na yeye anataka tuwe busy nae j3.

Ngoja nisikilize hiyo j3 tatizo mond ile juzi alimlaumu mwenzie sana ila yeye aonekane msafi
 
Hebu tujaribu kuweka mambo ya msingi yanayotujenga jamani...Mtu mzima unatuletea habari za wazinifu humu zinatusaidia nini sisi?
 
Hahahahaa!! Sasa litafika mahakama ya Kisutu kwa mashitaka yapi?! Kwamba aliahidiwa ndoa, au?! Bila shaka hiyo itakuwa ni kesi ya karne!!!!

Jambo linaloweza kufika Kisutu labda suala la child support! Mbaya zaidi Diamond ameshasema anatoa 200K kwa mwezi ambayo ni more than 100% above legal amount!! Na Diamond akisema anatoa above legal amount naweza kukubali kwa sababu, the guy anajua sana ku-care!
Kama Zari alikanusha aliyosema Mondi papo hapo, basi kuna uwezekano kuwa Mondi kasema uongo sana kuhusu Hamisa.
 
Wasalaam wana jamvi!
Jumatatu kuanzia saa saba mchana Ndug Hamisa Mabeto atafunguka kupitia Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL!Hii.imekuja baada ya mzazi mwenzie Diamond Platinumz kufunguka wazi na kueleza mengi kuhusu wao na kumkana hadharani japo alimkubali mtoto...
Moja ya mambo yaliyo mkera Hamisa ni kitendo cha Diamond kusema hawakuwa na ahadi yeyote ile wakati ukweli ni kwamba Diamond Platinumz alimuahidi kumuoa kabisa na ndio maana alikubali kutembea nae na anasema Diamond alisema anampenda yeye kuliko Zari!

Pamoja na hilo Hamisa anakuja kukanusha kuhusu mambo mengi aliyo yasema Diamond hasa ya kusema alikuwa anampa kila siku elfu 70+ na kumkubali mtoto toka mwanzo...jambo ambalo Hamisa anasema ni urongo...

Sasa anasema jumatatu atasema mengi na atasema kila kitu na kuhusu aliyekuwa ana record video zao na aliyekuwa ana husika kuzivujisha....

Wana jamvi naomba niishie hapa na tusubiri jumatatu saa 7 clouds Fm.

NB: Huu unaweza kuwa mwaka mbaya kwa Diamond maana Hamisa anakuja kumwaga mboga na kutoboa masufuria kabisa...
Wale ambao hampendi habari za Diamond na Zari nawashauri.msitumie Smart phone mpaka mwakani maana hii iliyobaki ni ya habari zao tuuu...

Wasalaam...
Duh
 
Condom 500/= Tsh
Ko Hamisa aliitegesha makusudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Akapata mimba makusudi??

Akapata RAV 4. makusudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji73]
 
Akiwa na akili aanze kwanza kukataa kama alipewa Rav4 angalau itawaingia watu akilini!

Nyie dada zetu bwana! Kwani kama umeshazaa nae kutulia uendelee kutumbua huo mtonyo wa mond ungepungukiwa nini???

Sasa unataka kushinda nae???
Ingawa unaonekana una target sana ukizikomba za matunzo ya mtoto kwa majizzo Na mond maisha ya mjini yanakuwa muruaaa kabisa
 
Huyu nae kwani harusini hakualikwa kumbe.. Labda ataacha kumgeza Zari mengi.. kakosa michuzi tu au angemgeza kila kitu.
Napita mie
 
Back
Top Bottom