Hamisa Mobetto kumbe ilikuwa kiki ya wimbo mpya

Akuna cha bwana mpya Wala nini . hamisa kawa weza mashilawadu wa tz. Kumbe alikuwa anatafuta attention ya nyimbo.
Yule jamaa mcheza nondo ya kikapu katumika kama video visk .

Hamisa angeendelea tu kuchezewa na Diamond aachane na muziki.....kwa kweli hata kuimba hajuwi.
 
Tatizo asilimia kubwa ya wabongo mnapenda umebea
Wapi hamisa alisema huyu bwana ake
Na kawaweza sana
 
Hata Harmonise BSS walimwambiaga hajui kuimba akatafute shughuli nyingine za kufanya leo yuko wapi?? Cha msing Misa atafute vocal trainer amfunze jinsi ya kuiweka sauti yke poa. Sauti ya kuimba anayo tena sana tuu.
 
Kwan hamisa yupo bss?
 
Kitu usichojua ni kwamba Diamond ilimchukua miaka 2 kukukaa na Harmonize na kumpika kabla ya kutoa single yake ya Kwanza ya aiyola,
Hamisa anatakiwa ajipe muda atleast aende THT au chuo Cha Sanaa Bagamoyo hata kwa miezi 3 akajifunze music, na sio Kama ilivyo Sasa kucheza na sauti sio Jambo la kuamka na kuingia studio
 
Hata Harmonise BSS walimwambiaga hajui kuimba akatafute shughuli nyingine za kufanya leo yuko wapi?? Cha msing Misa atafute vocal trainer amfunze jinsi ya kuiweka sauti yke poa. Sauti ya kuimba anayo tena sana tuu.
Watanganyika wana wivu mpaka aibu.
 
HAKUNA WIMBO NI HATA DEMO HAIFAI HAJUI KUIMBA ANAFANYA MATUMIZ MABAYA YAPESA
 
Akuna cha bwana mpya Wala nini . hamisa kawa weza mashilawadu wa tz. Kumbe alikuwa anatafuta attention ya nyimbo.
Yule jamaa mcheza nondo ya kikapu katumika kama video visk .

"Bitch is dying for fame" maneno yanakera sana haya ila yanafikirisha
 
Back
Top Bottom