ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Tena kwa mwanamziki asiyejulikana hata kwa ngazi ya kata....Noma Sana 😀😀😀😀😀😀!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kwa mwanamziki asiyejulikana hata kwa ngazi ya kata....Noma Sana 😀😀😀😀😀😀!!
Kapuuzi sana haka kadada hakana akili hata moja.....utadhani yupo chekechea....apewe faida ya mashaka...pengine ana kichaa"Bitch is dying for fame" maneno yanakera sana haya ila yanafikirisha
Umeshapata jibu??Kwan hamisa yupo bss?
BadoUmeshapata jibu??
Akuna cha bwana mpya Wala nini . hamisa kawa weza mashilawadu wa tz. Kumbe alikuwa anatafuta attention ya nyimbo.
Yule jamaa mcheza nondo ya kikapu katumika kama video visk
Wait utalipataBado