Nmecheka sana hii post ya soudy
View attachment 627270
Amekonda, anunue tu vigodoro vya kutosha kuvalia mishazali yake
Team misa ni wehu....kuutwa kung'ang'ana eti Dylan wa mondi wakati hata kope hawajafanana mwenye mtoto huyo[emoji116]Team yake inaweweseka mpaka inasema mtoto anafanana na nillan wakat kila siku wanasema nillan wa ivan
Nadhani hamisa alijua zari atasepa, afu achukue nafasi yeye mmh zari nae kaganda kama ruba nadhani hata hela ya matumizi inafatiliwa pole zake hamisaStress tupu hadi huruma. Mtoto ana miezi mitatu ila mama mtu kila siku kiguu na njia mara mahakaman mara photoshoot, mara nairobi hajui ashike kipi aache kipi. Shilawadu nae kachunguza hadi shingo hahaha
Apambane na hali yake,hamna namnaNadhani hamisa alijua zari atasepa, afu achukue nafasi yeye mmh zari nae kaganda kama ruba nadhani hata hela ya matumizi inafatiliwa pole zake hamisa
Haaa haaaSudy wa jf karudi
Kaniacha hoi kwa kweli. Mwenyewe nimeshangaa kusikia watu wapo london bas mapicha picha full kuyarusha.Tununu anatumia nguvu kubwa kuusaka umaarufu. Wiki nzima kasingizia anaumwa kichaa. Baada ya zari na dai kwenda london naona kichaa kimepona full kurusha picha na video zake na mtoto
Kweli kakonda. Sijui kujikondesha au mawazo mengi. Kidevu kimekua kirefu kama kona ya godoroNmecheka sana hii post ya soudy
View attachment 627270
Nadhani hamisa alijua zari atasepa, afu achukue nafasi yeye mmh zari nae kaganda kama ruba nadhani hata hela ya matumizi inafatiliwa pole zake hamisa
Tununu alijua akizaa na diamond ndo atamkomoa zari, sasa hivi yamemtokea puani, anahaha kama mwehu, katakufa na presha *****, kupenda kuparamia vya watu kumemcostNadhani hamisa alijua zari atasepa, afu achukue nafasi yeye mmh zari nae kaganda kama ruba nadhani hata hela ya matumizi inafatiliwa pole zake hamisa
Aliniboa alivyoanza kuvujicha picha hadharan na kujifanya malkia, mwache yamkutr
Kaniacha hoi kwa kweli. Mwenyewe nimeshangaa kusikia watu wapo london bas mapicha picha full kuyarusha.
Anapenda attention sana.