Hamisa Mobetto kuzimisha Nyota ya Wema Sepetu

Hamisa Mobetto kuzimisha Nyota ya Wema Sepetu

Team yake inaweweseka mpaka inasema mtoto anafanana na nillan wakat kila siku wanasema nillan wa ivan
Team misa ni wehu....kuutwa kung'ang'ana eti Dylan wa mondi wakati hata kope hawajafanana mwenye mtoto huyo[emoji116]
IMG_20171109_144114_124.JPG
 
Washauri wake walimwingiza choo cha kiume tena cha baa,huwez kuwa mchepuko wa mtu zaid ya miaka 5 hujawah panda daraja na bado unakubali kuwa unapendwa,Aligeuzwa chombo cha starehe na akakubal kutumika na mimba akabeba akijua labda angepanda daraja kumbe ndo amejipoteza mwenyew
 
Stress tupu hadi huruma. Mtoto ana miezi mitatu ila mama mtu kila siku kiguu na njia mara mahakaman mara photoshoot, mara nairobi hajui ashike kipi aache kipi. Shilawadu nae kachunguza hadi shingo hahaha
Nadhani hamisa alijua zari atasepa, afu achukue nafasi yeye mmh zari nae kaganda kama ruba nadhani hata hela ya matumizi inafatiliwa pole zake hamisa
 
Tununu anatumia nguvu kubwa kuusaka umaarufu. Wiki nzima kasingizia anaumwa kichaa. Baada ya zari na dai kwenda london naona kichaa kimepona full kurusha picha na video zake na mtoto
Kaniacha hoi kwa kweli. Mwenyewe nimeshangaa kusikia watu wapo london bas mapicha picha full kuyarusha.
Anapenda attention sana.
 
Maskin pole yake ndo kwanzaa mganda anaongeza karanga
23417042_1981580325413326_3651290524557508608_n.jpg

Ila hata zari angeondoka hamisa asingemuweza dai.maana akili ya hamisa imeshikwa na mama yake.
Nadhani hamisa alijua zari atasepa, afu achukue nafasi yeye mmh zari nae kaganda kama ruba nadhani hata hela ya matumizi inafatiliwa pole zake hamisa
 
Nadhani hamisa alijua zari atasepa, afu achukue nafasi yeye mmh zari nae kaganda kama ruba nadhani hata hela ya matumizi inafatiliwa pole zake hamisa
Tununu alijua akizaa na diamond ndo atamkomoa zari, sasa hivi yamemtokea puani, anahaha kama mwehu, katakufa na presha *****, kupenda kuparamia vya watu kumemcost
 
Halafu anapenda chokochoko na sifa za mitandaoni. Hii picha angesubiria akashinda kesi aanze kuweka caption za hivi,mtu kila siku anamsema vibaya yeye yumo tu
23348216_1913652992295080_5057552302911520768_n.jpg

Mama dai nae kaweka ya kwake
23280064_1617045735020282_4984374740316585984_n.jpg

Kaniacha hoi kwa kweli. Mwenyewe nimeshangaa kusikia watu wapo london bas mapicha picha full kuyarusha.
Anapenda attention sana.
 
Back
Top Bottom