Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hii ndio ile wanaita kudanga kwa weledi [emoji28]..

Huyu mwamba kweli lazma aje kuwekeza zile billion 8 zake bongo kashafinyiwa kwa ndani na mtoto wa Tandale uswahilini!

Inaonekana kapata review kwa rotimi kuwa hizi ngozi za kibongo ni noma [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaaah
 
Kwani wewe ukipata demu tajiri siyo maendeleo? Basi tufanye ni maendekesho.
Kwenye akili yangu sijawahi kufikiria kumtongoza demu ili nifaidike kiuchumi sijawahi na mademu nilio wahi kuwa nao wa kawaida labda itokee tu kuvutiwa na binti tajiri, ila mawazo hayo sina kabisa, kwanza ktk maisha naamini HELA YA MWANAMKE siku zote chungu hata akiwa nayo sitoifanya kama sehemu ya kipato changu.

Halafu sio kwamba sikutani nao hao mabinti matajiri, mpaka sasa nishakutana nao watatu ila hawaja ni vutia.
 
Back
Top Bottom