Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hahaaa Fally halagi malukanga ya kina mondi aliona anavyojipeleka peleka akamtolea mbavuni kwani alijua ni dangachee, kiukweli haya mambo walitakiwa wamalizane na Ross hukohuko kimya kimya , sasa kwakua bidada shule less yeye anaona ufahari
 
Naona anakitegesha apate mtoto na nyonyoma wa mbele ili child support ihusike just imagine triple child support ya majjizo,nasib Abdul,na final ya nyonyoma Rick Ross ndo naanza kuamini mobetto hatoishi kwa mkate tuu bali kwa child support azipatazo toka kwa waume watatu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamisa mjanja yule, na atashika ujauzito.
 
Wahuni eeehy...

Wanawake wanapenda mwanaume "Strong"....

Nawambiaje........ Unakuta hata huyo R.R hatumii mpunga Bali Bidada anagharimika Mwenyewe....

Nawambiaje.....Mond ana domo ila huwezi amini Mkeo unayekubali ,anataman angalau siku moja aliwe na Mond bureee...

Kwa TZ ,hamna dem anayeweza kumkataa Mond.....hata km Wanajua Mond ni Malaya....

Sembuse R.R wa USA ??? Thubutuuuuu...

Hapo mwenzenu anawadolishia wenzakeeee kua kwa sasa analika Intaneshinooooo!!!

ITOSHE KUSEMA.......PAPUCHI YAKE, MAISHA NI YAKE, MWACHENI MTOTO WA WATU NA MBUSUSU YAKE....ALIWE NA MBONGO, ALIWE MBEREEEE. ATABAKI KUA DEM MKALIIIIII!!!!.
 
Back
Top Bottom