Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Daaaah! Kweli kaumia,
Asingeweka hiyo post, kajishusha CV yake na anaye date nae kwa sasa
[emoji2]
Mapenzi mabaya sana!yanauma hakutegemea kama atapigwa na kitu kizito km hichii!
 
Yaani kwa sasa yuko kistaa sana hana time na watu wa ajabu ajabu...na atafika mbaali kwa sasa!ujinga kaweka pembeni..na kwa MTU km Rick kua nae karibu tayari anatengeneza brand yake ikue.Ona wahuni walichofanya[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
 
Hahaaa Fally halagi malukanga ya kina mondi aliona anavyojipeleka peleka akamtolea mbavuni kwani alijua ni dangachee, kiukweli haya mambo walitakiwa wamalizane na Ross hukohuko kimya kimya , sasa kwakua bidada shule less yeye anaona ufahari
Sio ufahari kwa mtazamo wetu aiseeh

Kwa biashara yake this means a lot.
 
Wee anaanzaje kwa mfano [emoji1][emoji1][emoji1]sikujuaga matajiri mapenzi yabawatesaga Ila nliskiaga kwa wambea kua Vunja kwa mobet alimuelewa mnoo...yaani to core..sema Missa hakumfil mshikaji kivile
Unaweza kuwa na pesa mingi na ukawa bado mshamba mshamba fulani tu, sasa demu kama hazimikii swaga zako anachukuwa pesa tu baadaye anakutupa tu.
 

Hapa Hamisa kanyamizisha wote,bora hata Majizzo hakuwaga na hekaheka za kumdharirisha mitandaoni.Tabu iko kwa Watandale,na wasipoangalia kweli watoto wataenda kwa Biden [emoji3][emoji3]
 
Wee anaanzaje kwa mfano [emoji1][emoji1][emoji1]sikujuaga matajiri mapenzi yabawatesaga Ila nliskiaga kwa wambea kua Vunja kwa mobet alimuelewa mnoo...yaani to core..sema Missa hakumfil mshikaji kivile

mshikaji ni ile aina ya wana wenye ndoto za mbele halafu demu anataka gari kali,nyumba kubwa,mitoko ya insta nk.[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…