ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Nimeikumbuka ile nyimbo tu wanaijeria sijui waleMrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao.
Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.
Dangadanga mwisho ufe...dangadanga mwisho ufe