Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Damon lol
 
Alifanya vizuri
Kijana mdogo kabisa unaangukia kwa single mother wa 2 kids wakati watoto wazuri wanamaliza shule kila mwaka
Leo huyo Vunja analia lia haamini anachokiona...
Punguzeni wivu[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]!!!!
 
mshikaji ni ile aina ya wana wenye ndoto za mbele halafu demu anataka gari kali,nyumba kubwa,mitoko ya insta nk.[emoji16][emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]apoe tuu!!
 
Hawawezi shupaza shingo

Lazma walegeze

Mbele ya hela hakuna mwanamke anachomoa[emoji1787][emoji1787]
 
Badala ya kuwashangaa wanaume mngemshangaa huyo mobetto kwa kuwa mfano mbaya kwa jamii hususani mabinti wanaomfollow

Kwa tabia yake mbaya ya umalaya kuzaa zaa ovyo na kila mwanaume bila ndoa.

Siku shangai una represent akili za majority ya wanawake.


Napo utapinga bado[emoji2][emoji2][emoji1787]
 
Wanawake bhana[emoji2][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…