Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Na makato yamepanda bei[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka balaaa
 

Tabia mbaya hata Dada zako wanayo au kwakuwa huwa huwaoni wanayoyafanya? Hamisa kosa lake hapo ni lipi sasa? Mnataka kujifanya watakatifu sana wakati hata Dada zenu na wao wanadanga huko,pengine tofauti yao na Hamisa ni moja tu,huyu anamdangia Richforeve wakati wao wanawadangia wanaume wa Buza[emoji3][emoji3]
 
Sikieni nyinyi! Huu ni wimbo na Hamisa
Amecheza kama video queen
Soon pini litaruka kwa hewa.
Yani aruke ruke na Rick asito..mbwe......!!
kipochi manyoya kishaliwa ngoja na SS tukisubiri kikirudi bongo tukile kwa wakati wetu.......
ni mwendo wa kupokezana kijiti tu
 
Asante Dada[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]sisemi tena![emoji12][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 

Hakuna la ajabu analofanya hapo Hamisa,haya anayoyafanya hata Dada zako wanayafanya sana tu (sorry najua itakuuma lakini ndiyo ukweli wenyewe) .Tofauti ya Hamisa na wengine ni kuwa yeye anadate mtu maarufu zaidi kwa sasa hadi mnapata muda wa kumkosoa ila dada zako wanadate kwa kina Mangi wenye maduka pale mtaani kwenu[emoji3][emoji3][emoji3]
 

Yani nasoma Comment za Wanaume humu nacheka sina mbavu,wanamsema Hamisa wakati hata Dada zao wanadanga huko.Tofauti ni moja tu,Hamisa anakula nguruwe aliyenona kama ulivyosema,wakati dada zao wanakula Sungura wenye vifaduro[emoji1787][emoji1787]
 
Hawaamini wanachokiona hawa wakaka!!Dada zao wanaliwa na wanaume wa Manzese uwanja wa fisi!watulie tuliii!!!
 
Hutaki tupate kajomba ka Rick Ross bwashee
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]nyamizi una nini lakini!!watu wanakufa vihoro hukooo!!mwe mwe mweh
Kaka zetu jf wameumia makasirikio mengi sana![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wee anaanzaje kwa mfano [emoji1][emoji1][emoji1]sikujuaga matajiri mapenzi yabawatesaga Ila nliskiaga kwa wambea kua Vunja kwa mobet alimuelewa mnoo...yaani to core..sema Missa hakumfil mshikaji kivile
Kwa yale mahaba lazima Mkinga alimuelewa Misa. Apambane na kutafuta pesa. These ho*es ain't loyal [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Yani nasoma Comment za Wanaume humu nacheka sina mbavu,wanamsema Hamisa wakati hata Dada zao wanadanga huko.Tofauti ni moja tu,Hamisa anakula nguruwe aliyenona kama ulivyosema,wakati dada zao wanakula Sungura wenye vifaduro[emoji1787][emoji1787]
Wana wivu mbaya hawaoni ht aibu![emoji3][emoji3][emoji3]imagine mwanaume anamuonea donge mwanamke kuliwa..[emoji16][emoji23][emoji23]sio level kwa sasa!maisha ya kupanda na ndo amepanda kama walimkosa shule za Msingi,Tandika SS na Miss Ishi,enzi hizo ndo baaasi tenaa!
 
Kwa yale mahaba lazima Mkinga alimuelewa Misa. Apambane na kutafuta pesa. These ho*es ain't loyal [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]kamtolea mbavuni kuubwa mbele ya cash ekschuzi her....ex's wa Hamisa wote kwa sasa wanaumia na wale wake wenza...!!!
 
Yani aruke ruke na Rick asito..mbwe......!!
kipochi manyoya kishaliwa ngoja na SS tukisubiri kikirudi bongo tukile kwa wakati wetu.......
ni mwendo wa kupokezana kijiti tu
Aah!kwanza shooting na Rozy ni full respect atauza ze whole world...!!baada ya Cynthia Masasi ni yeye sasa!!
 
Nichukieje??!!! Mbona hueleweki[emoji849][emoji849][emoji849] kwanza sina mazoea naye huyo demu na sina haja ya kumjua, ila naongea nachokiona huyo demu anadanga mbaka aibu kwenye show ya fally niligundua tu huyu anajiuza kabisaa

Haya ndiyo makasiriko yenyewe sasa,unasema huna haja ya kumjua lakini wakati huo huo unajua movement zake zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Btw Hamisa hahitaji mazoea na wewe maana hajui hata kama upo,yeye anawajaua hao kina Majizzo,Diamond na sasa ame upgrade kwenda kwa kina Richforever kule ni mwendo wa kusecure bag [emoji385][emoji383].Wewe na mimi acha tupambanane na haya madafu ya Mama Samia
 
Nyamizi madafu ya mama Samia[emoji3][emoji3]!!! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]umemsahau tajiri Vunja hapo ndo anawajua hao!
 

Umetoa angalizo mujarabu kabisa,Binti sasa hivi anasecure bag atengeneze future za wanae.Halafu kichekesho unaweza kuta waliokuwa hawatoi pesa za matunzo kwa Watoto wakaanza kuzitoa kwa kujipendekeza,maana Hamisa sasa hivi kaingia viwanja vya [emoji383].Hizi wekundu wa msimbazi kawaachia kina Uwoya ndiyo wahangaike nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…