Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Wamegwaya walitaka atoke na kivurande wamtukaneee wamuite cheap Malaya,wampe mifano ya kinabosslady,Mara veepesa n.k...yeye kabutua kombolela mpk Us ndo wameshangaaa!!
Bosslady huko aliko anaumwaa,alikuja kwa Watandale kwa ajili ya umaarufu na akajiona kapatia na kejeli za kutosha kwa Baby Mama mwenzie.Hamisa kamwonyesha nini maana ya kudate na Mwanamziki maarufu.Kudos kwa Watoto wa Ki Bongo,mmeamua kuwaonyesha EA nini maana ya kudate watu maarufu,kaanza Vee,bado hatujakaa sawa Hamisa kaja kugongelea msumari wa moto.