Wamegwaya walitaka atoke na kivurande wamtukaneee wamuite cheap Malaya,wampe mifano ya kinabosslady,Mara veepesa n.k...yeye kabutua kombolela mpk Us ndo wameshangaaa!!
[emoji16][emoji16][emoji16]kamtolea mbavuni kuubwa mbele ya cash ekschuzi her....ex's wa Hamisa wote kwa sasa wanaumia na wale wake wenza...!!!
Wavumilie maumivu ya mwili na maini tu..maana wamepigwa sana[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]!!!Bosslady huko aliko anaumwaa,alikuja kwa Watandale kwa ajili ya umaarufu na akajiona kapatia na kejeli za kutosha kwa Baby Mama mwenzie.Hamisa kamwonyesha nini maana ya kudate na Mwanamziki maarufu.Kudos kwa Watoto wa Ki Bongo,mmeamua kuwaonyesha EA nini maana ya kudate watu maarufu,kaanza Vee,bado hatujakaa sawa Hamisa kaja kugongelea msumari wa moto.
Nyamizi madafu ya mama Samia[emoji3][emoji3]!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]umemsahau tajiri Vunja hapo ndo anawajua hao!
Mnooo...!!!asiumie mchezo walimuita cheap,Mara sijui low life!!!Leo kawazidi kete mbaali sana!hakuna maslay kwini wasomtamani baasi tu hawajapata koneksheni na umri umesogea na mipombe inawaharibu!Hasa yule mke mwenza wa kwa Madiba na hivi ni mtu mzima
mwenzetu sasa,mapigo ya moyo yanakwenda kasi kila akiingia kwa mitandao ya kijamii[emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]power of...!!!mda wake huu,muache ale!!!yaani M[emoji7]Missa akomae mpk kieleweke aseeh!km veemoneyEwaa,Kaanza na hawa “matajiri Vijana wa kibongo” na sasa ka upgrade kwenye dolali za uhakika,kama huna hizo kwa Bank,wewe kaa pembeni,siyo type ya Mobetto.
Acha kabisa[emoji21][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji53][emoji17][emoji17][emoji17]I do miss him duude!RIP...!!![mention]warumi [/mention] ndugu yetu huyu ametangulia mbele za haki,sijui angekuwepo hii habari angeileta kwa mbwembwe kisi gani[emoji23][emoji23]
nadhani ingeletwa na msafara wa matarumbeta[emoji1490][emoji1490]
[emoji16][emoji16][emoji16]ndo kusema hajaajiriwa halafu anamtaka mobetto!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wavula wote wanatokwa povu hatari,mwingine anachekesha kwamba anasubiri Hamisa arudi na yeye ajisevie.Kina Vunjabei wamepigwa chini hadi wanalia ovyo ije kuwa hawa Wavulana wa hapa JF ambao bado wanahangaikia kupata ajira za Mama Samia[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]ndo kusema hajaajiriwa halafu anamtaka mobetto!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa haraka haraka rick ana migahawa ya wings za kuku inafika 300...nilikua namskiliza sku1 anasema faida ya mgahawa m1 kwa week ni kama $20000Eeh kwa ross hio hela ya mboga tu
Bakora aliyotuchapa nayo Misa si ndogo.[emoji16][emoji16][emoji16]kamtolea mbavuni kuubwa mbele ya cash ekschuzi her....ex's wa Hamisa wote kwa sasa wanaumia na wale wake wenza...!!!
Sonono mwisho anakufa kwa kihoro!![emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]au anakua mchawi!Anaota kabisa kumpata Hamisa,mambo mengine ni kujitakia sonono bure tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mungu anamuona,wadada wa mjini wanajiuliza wao wamefeli wapi?maana waliishia kwa kina Van Vicker tu?!!mwenzao kavuka boda!
Kwa haraka haraka rick ana migahawa ya wings za kuku inafika 300...nilikua namskiliza sku1 anasema faida ya mgahawa m1 kwa week ni kama $20000
Vile kama vya mc donald vile.nkasema si mchezo..jamaa jumba lake si ndo walitumia kwenye comming to amerika2
Mademu wale waliozaa na rosey kuna m1 huwa wanalumbana sana..child support yake huwa kama 40000$ kwa mwez sasa pata picha hapo ...dada etu kapiga hesabu kali sana japo hajafika univazite[emoji23][emoji23]
kama jamaa litajichanganya limjaze,dada hatataka makubwa,kisingeri singeri tu atamwambia kwa wiki anaomna $3000,kama child suport,na kwa mwezi itakuwa $12000,yaani kwake ni hela ya sigara hii,wakati huku bongo tununu anatuua nayo[emoji23].
Fred naye ni mpenda umaarufu ndio maana anahangaika na mastar na mobeto mwenyewe Sasa nguvu kawekeza kudanga ana watoto wawili Wana mtosha kabiaaAlifanya vizuri
Kijana mdogo kabisa unaangukia kwa single mother wa 2 kids wakati watoto wazuri wanamaliza shule kila mwaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kwa sasa yuko kistaa sana hana time na watu wa ajabu ajabu...na atafika mbaali kwa sasa!ujinga kaweka pembeni..na kwa MTU km Rick kua nae karibu tayari anatengeneza brand yake ikue.Ona wahuni walichofanya[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]View attachment 2024872
Acha kabisaa yaani nilicheka saana daahh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kuna watu wangeoga matusi balaa[emoji28] RIP Binamu[mention]warumi [/mention] ndugu yetu huyu ametangulia mbele za haki,sijui angekuwepo hii habari angeileta kwa mbwembwe kisi gani[emoji23][emoji23]
nadhani ingeletwa na msafara wa matarumbeta[emoji1490][emoji1490]