Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaaah
 
Kwani wewe ukipata demu tajiri siyo maendeleo? Basi tufanye ni maendekesho.
Kwenye akili yangu sijawahi kufikiria kumtongoza demu ili nifaidike kiuchumi sijawahi na mademu nilio wahi kuwa nao wa kawaida labda itokee tu kuvutiwa na binti tajiri, ila mawazo hayo sina kabisa, kwanza ktk maisha naamini HELA YA MWANAMKE siku zote chungu hata akiwa nayo sitoifanya kama sehemu ya kipato changu.

Halafu sio kwamba sikutani nao hao mabinti matajiri, mpaka sasa nishakutana nao watatu ila hawaja ni vutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…