Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Alipata akili ya kutanua wigo wa biashara yake[emoji28] sema kwa mshindo wa Rick Rozey lazma aachwe vizuri tena ahakikishe kambebea na mimba kabisa ili avune zile child support za million 50 kila mwezi!

Mkuu mahesabu ya kitajiri sana hayo kwenye Hamisa Mbususu Investment
 
Kachanga karata zake vizuri azidi mkoleza tu maana mwamba yuko hoi ...... hapa bongo wengi wanazungukana tu wenyewe kwa wenyewe kuishia kuchambana .....Heko kwa mobetto amdange kisawasawa
 
Ahsante....tatizo watu wengi wamekariri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tamaa mlizonazo za maisha mazuri si tunaona bwana! Ukiniambia mjukuu wa mzee bhakressa ambaye toka anazaliwa mpaka anaota chuchu yupo kwenye dunia ya asali na maziwa tu kwenda disneyland ni kawaida kila xmass dubai huko burj khalifa hapo ntaelewa.

Nyie mnaotokea pangu pakavu wengi misimamo ya kukataa burudani za mjini tena kwa watu maarufu kama Diamond ni ngumu sana! Yani jamaa alipo akitaka kila siku agonge papuchi mpya anaweza na kashazipiga sana mpaka amechoka huo mchezo sahizi anainvest tu!
 
Mimi ni mdada usijesema najitetea hapa [emoji1] ....Ujue wanawake sisi kwa sisi pia tunatofautiana, jamaa atakubaliwa na wanawake wanaopenda wanaume wa aina yake maana kama ni pesa mbona wanaume kibao mtaani wako njema tena sana hivyo inawezekana kunasa kwingine kwake isiwezekane sababu tuna machaguo yanayotafautiana.
 
Kwani huyo Diamond ana kipi cha ziada ambacho wewe huna mapenzi yangekuwa pesa billigete asingeachwa nikwambie kuna Wanawake wanaopenda pesa kutoka kwa Wanaume, kuna Wanawake wanapenda kujaliwa kutoka kwa Mwanamke mfano kama Wewe unadhani uliyekuwa nae hatongozi na waliokuwa nacho kukuzidi Wewe why yuko nawe asikuache.
 
Umeshasema 'wengi' yes nakubali lakini hii ya kusema wanawake wote hawaezi kataa kutoka na Mondi nakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…