Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Mimi ni mdada usijesema najitetea hapa [emoji16]....Ujue wanawake sisi kwa sisi pia tunatofautiana, jamaa atakubaliwa na wanawake wanaopenda wanaume wa aina yake maana kama ni pesa mbona wanaume kibao mtaani wako njema tena sana hivyo inawezekana kunasa kwingine kwake isiwezekane sababu tuna machaguo yanayotafautiana

Sent using Jamii Forums mobile app
Good explanation
 
Huyu ndugu hamumtakii mema mnampiga kote kote mmefanya hadi kapigwa kufuli.. sio poa. Binafsi dhana yake haiko sawa hivyo naelekeza ipingwe!!
Jamaa chizi kweli yaani kirahisi rahisi tu anaropoka ohh tz hakuna mwanamke anayeweza kumkataa mondi, hapo cjui anakuwa amekula mihadarati mpaka anasahau kuwa mama yake naye ni mwanamke.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani anatamani awe na mbususu Mwaume unapata wapi ujasiri kwa kudhani kwamba D hawezi kukataliwa na mke yoyote yule ina maana ana tamani angekuwa na mbususu asingekataa
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wanatusemelezea vitu tuna vitaka utafikiria Wana papuchi aisee na Wana force eti kumkataa diamond ni ngumu, Yani diamond ni SI unit ya urijali kwao
 
Kwa hizi hasira za wanaume juu ya Hamisa, no wonder na wenyewe wanaamua kutoa ndogo, yaani nilidhani wanawake ndio wawe na wivu kwa mwanamke mwenzao ajabu ni wanaume ndio wanakua na wivu kwa mwanamke,
Lol

Maajabu hayawezi kuisha Tanzania yangu.
Wanaume wakusamea Wana mambo mengi ya kufanya huku uchumi uko tight na sikuhizi kikipato wanaume wanazidiwa lazima wawe so bitter wallah
 
Jamaa kapigwa tukio na Mwanamke wa humu hasira ana tumalizia tusio husika yaani kila Comments ukipingana nae yeye ni matusi kweli wanawake wahumu hivi kana kwamba katoka na Wanawake wote wa JF
Halafu hana adabu umekutana na mtu why umzalilishe humu na machungu yake.
 
Anadai Anatujua wote na anajua tumechoka na maisha balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo tukichoka na kuwa wabovu hatutuhusiwi kutoa maoni yetu?
Yani defensi mechanism ya humu ni kuchoka sana loh
 
Yaani wakishatoka na Mwanamke wa humu wana dharau kweli kweli kila mke wanaona yuleyule [emoji51]
Wajinga hao na hawajielewi mtu timamu akitoka na mtu ana mute Sasa wao wanatafta taarifa na kuanza kusanua humu Ili iweje ifike mahali wapigwe life ban, shida wengi ushamba na stress za life. Kuna mmoja huja pm huku namchora alivo mzalilishaji namtamani siku nimfunge jela kabisa loh
 
Tatizo bi dada atakuwa anawaza Kununuliwa Iphone tu Wewe huwajui hawa...
Huyo mentor wake ni Da Mange, malaya first class huyo.
Ona madanga yake,
1. Majizo
2. Freddy Vunjabei
3. Diamond Platnumz
4. Huyo minyama uzembe.

Hapo ni nje ya wale wenye cash lakini ni watu wa low profile hawapendi spotlight hujui wapo wangapi.
 
Back
Top Bottom