Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Safi Sana anaiwakilisha Nchi vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonesha wametembea na wabovu humu maana kila comments humu kuna Wanawake wabovu kuna shida kwenye mawazo yao mfuuWajinga hao na hawajielewi mtu timamu akitoka na mtu ana mute Sasa wao wanatafta taarifa na kuanza kusanua humu Ili iweje ifike mahali wapigwe life ban, shida wengi ushamba na stress za life. Kuna mmoja huja pm huku namchora alivo mzalilishaji namtamani siku nimfunge jela kabisa loh
HajitambuiHalafu hana adabu umekutana na mtu why umzalilishe humu na machungu yake.
Mimi nampa heko huyu binti. Siyo kila siku kulia na akina Harmonize au Diamond. Anaenda kutafuta huko na analeta kuwekeza hapa nchini. Tumuunge mkono na kumpa mbinu ili asiwe kama Wema
Mkuu una shidaYaani mko busy kweli kweli notification zinaingia kwa fujo eti mobeto mnakera sio siri
Cha ajabu na wewe pia ni mmoja wa hao wachangiaji.Hivi kweli issue ya Hamisa ndy imepata wachangiaji wengi kiasi hiki?? Guys lets be serious acheni ujinga bhana
[emoji23][emoji23][emoji23] very true kila kitu wanachukulia serious tuKuna watu ushuzi ukiwabana lazima waje kujambia JF.
Tigo ya Amisa, kuteseka unateseka wewe, inakuwaje hii?Ila wamarekani kwa tigo hao sio poa...dada aangalie Rinda lake aisee
Some people wanapenda kuzalilisha wengine Ili kujipatia relief ya machungu moyoni na jf ni only place ya kusemeaInaonesha wametembea na wabovu humu maana kila comments humu kuna Wanawake wabovu kuna shida kwenye mawazo yao mfuu
Matumizi mabaya ya neno la HERO.
Unajua kama mtu anasaka pesa mwache maana wengine wanasaka kwa kusafisha vyoo, wengine kutuosha sie vizee, na wengine kuinadi K. Hivi tofauti ya Vanessa na yeye ipo wapi? Kwani yupo kitaa akitafuta wanaume awape k wampe pesa? Si amepata Boyfriend kama wanawake wengine? Hi heroHamisa kashawapiga gap hao kina wema na alivozalilishwa na kina Domo akapata fundisho na kunyanyuka na kuwa bora
Tigo ya Amisa, kuteseka unateseka wewe, inakuwaje hii?
Kwamba Watanzania hawali tigo? au unasumbuliwa na wivu na mtu ambaye hata kukujuwa tu hakujuwi?
Mwaisa mtumbad........Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao.
Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.
Hili unaloliita shambulizi ndio maoni yangu.Mzee mbona mimi sijaongea kwa hasira,,,afu nimetoa maoni yangu kama watu wengine wanavyotoa hauna sababu ya kunishambulia.
OkHili unaloliita shambulizi ndio maoni yangu.
Ni Mbobezi tena wa Kimataifa!!Hii ndio ile wanaita kudanga kwa weledi 😅..