Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Wajinga hao na hawajielewi mtu timamu akitoka na mtu ana mute Sasa wao wanatafta taarifa na kuanza kusanua humu Ili iweje ifike mahali wapigwe life ban, shida wengi ushamba na stress za life. Kuna mmoja huja pm huku namchora alivo mzalilishaji namtamani siku nimfunge jela kabisa loh
Inaonesha wametembea na wabovu humu maana kila comments humu kuna Wanawake wabovu kuna shida kwenye mawazo yao mfuu
 
Matumizi mabaya ya neno la HERO.

Hamisa kashawapiga gap hao kina wema na alivozalilishwa na kina Domo akapata fundisho na kunyanyuka na kuwa bora
Unajua kama mtu anasaka pesa mwache maana wengine wanasaka kwa kusafisha vyoo, wengine kutuosha sie vizee, na wengine kuinadi K. Hivi tofauti ya Vanessa na yeye ipo wapi? Kwani yupo kitaa akitafuta wanaume awape k wampe pesa? Si amepata Boyfriend kama wanawake wengine? Hi hero
 
Mzee mbona mimi sijaongea kwa hasira,,,afu nimetoa maoni yangu kama watu wengine wanavyotoa hauna sababu ya kunishambulia.
Tigo ya Amisa, kuteseka unateseka wewe, inakuwaje hii?

Kwamba Watanzania hawali tigo? au unasumbuliwa na wivu na mtu ambaye hata kukujuwa tu hakujuwi?
 
Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao.

Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.

Mwaisa mtumbad........
Screenshot_20211126-140237_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom