Kuna siku nilijibu hivo kuhusu Domo wanaume walioshindwa maisha na mahusiano wakaanza kunitukanA, na kusahau kuwa sio kila wanawake wanavutiwa na wasanii na watu maarufuSio kweli kwamba Tz hakuna mwanamke anayeweza kumkataa mond
Good explanationMimi ni mdada usijesema najitetea hapa [emoji16]....Ujue wanawake sisi kwa sisi pia tunatofautiana, jamaa atakubaliwa na wanawake wanaopenda wanaume wa aina yake maana kama ni pesa mbona wanaume kibao mtaani wako njema tena sana hivyo inawezekana kunasa kwingine kwake isiwezekane sababu tuna machaguo yanayotafautiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka atakuwa Baba Levo huyo, anayetamani kumzalia Diamond watoto watatu.Jamaa anawaonea wivu Sana wanawake, anatamani angekuwa mwanamke ili agongwe na diamond.
Jamaa chizi kweli yaani kirahisi rahisi tu anaropoka ohh tz hakuna mwanamke anayeweza kumkataa mondi, hapo cjui anakuwa amekula mihadarati mpaka anasahau kuwa mama yake naye ni mwanamke.Huyu ndugu hamumtakii mema mnampiga kote kote mmefanya hadi kapigwa kufuli.. sio poa. Binafsi dhana yake haiko sawa hivyo naelekeza ipingwe!!
Mobetto atakuwa kamlima mtama Uwoya hapo lazma akune kichwa kutafta danga la USA beiby!😅
Naona trend inaenda huko now!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wanatusemelezea vitu tuna vitaka utafikiria Wana papuchi aisee na Wana force eti kumkataa diamond ni ngumu, Yani diamond ni SI unit ya urijali kwao[emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani anatamani awe na mbususu Mwaume unapata wapi ujasiri kwa kudhani kwamba D hawezi kukataliwa na mke yoyote yule ina maana ana tamani angekuwa na mbususu asingekataa
Wanaume wakusamea Wana mambo mengi ya kufanya huku uchumi uko tight na sikuhizi kikipato wanaume wanazidiwa lazima wawe so bitter wallahKwa hizi hasira za wanaume juu ya Hamisa, no wonder na wenyewe wanaamua kutoa ndogo, yaani nilidhani wanawake ndio wawe na wivu kwa mwanamke mwenzao ajabu ni wanaume ndio wanakua na wivu kwa mwanamke,
Lol
Maajabu hayawezi kuisha Tanzania yangu.
😃😃😃😀😀😀Bila shaka atakuwa Baba Levo huyo, anayetamani kumzalia Diamond watoto watatu.
😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wanatusemelezea vitu tuna vitaka utafikiria Wana papuchi aisee na Wana force eti kumkataa diamond ni ngumu, Yani diamond ni SI unit ya urijali kwao
Halafu hana adabu umekutana na mtu why umzalilishe humu na machungu yake.Jamaa kapigwa tukio na Mwanamke wa humu hasira ana tumalizia tusio husika yaani kila Comments ukipingana nae yeye ni matusi kweli wanawake wahumu hivi kana kwamba katoka na Wanawake wote wa JF
Tatizo bi dada atakuwa anawaza Kununuliwa Iphone 13 tu Wewe huwajui hawa...Na Kulala Hotel nzuri kubwa basi apigwe nao arudiHuyu ameingia mazima anaweza hata kumjengea shopping mall.
akili kitenesi, mtaji papuchi maji
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo tukichoka na kuwa wabovu hatutuhusiwi kutoa maoni yetu?Anadai Anatujua wote na anajua tumechoka na maisha balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wajinga hao na hawajielewi mtu timamu akitoka na mtu ana mute Sasa wao wanatafta taarifa na kuanza kusanua humu Ili iweje ifike mahali wapigwe life ban, shida wengi ushamba na stress za life. Kuna mmoja huja pm huku namchora alivo mzalilishaji namtamani siku nimfunge jela kabisa lohYaani wakishatoka na Mwanamke wa humu wana dharau kweli kweli kila mke wanaona yuleyule [emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23]wewe umefanyaje hapaHivi kweli issue ya Hamisa ndy imepata wachangiaji wengi kiasi hiki?? Guys lets be serious acheni ujinga bhana
Huyo mentor wake ni Da Mange, malaya first class huyo.Tatizo bi dada atakuwa anawaza Kununuliwa Iphone tu Wewe huwajui hawa...
Kuna watu ushuzi ukiwabana lazima waje kujambia JF.[emoji23][emoji23][emoji23]wewe umefanyaje hapa
Yaani mko busy kweli kweli notification zinaingia kwa fujo eti mobeto mnakera sio siri[emoji23][emoji23][emoji23]wewe umefanyaje hapa
Hao wa America wasijeishia kumfanya Teja bure ajiangalie na BATA hizoMrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao.
Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.