Yaan we dada cjukui lakini kwa muonekano inaonyesha wewe ni mfupi sana cheusi tii ma mdomo mweusi kama kunguru,si kwa umbeo huo.Watu wanasemaga Hamisa ni mnafiki nikajua wanamsingizia, jana ndo nimeamini, huu ukaribu wa Hamisa na mama Kanumba umeanza lini?
Hamisa alimpost Lulu akiwa jela na kumpa pole, leo anaonekana na familia ya Kanumba wakisherekea kwenye uzinduzi wa filamu yake mpya.
Je wanafurahia Lulu kuhukumiwa kifungo jela?
View attachment 632857
Warumi km hakupendi ndvyo alivyo chochote kwako ni kibaya ana chuki balaaa sipati picha mkewe atakuaje
Mkewe tena? Wakati ye mwenyewe ni mke wa watu??.. warumi ana ucchi kama wanawake wengine tu!!..ni demu huyo!!
Hahahaaaaa bina umejua kunichekeshawarbina post: 24484328 said:Best numzumbuka, sio kwa vichambo hivi, ckujua kama seth yumo, lol
According to warumiKwasasa kupiga story na mama kanumba ni kosa la jinai
Huyu mama toka kaja dar kashindwa kurudi bukoba,mali za mwanae zote kala kabaki kma alivyokuja kutoka bukobaMama kanumba ni mdau wa filamu (kutokana na cheo alichokuwa nacho mwanae). Sioni tatizo hapo!
Mama kala magari yote ya marehemu,bukoba harudi tenaPamoja na yote, mshaurini huyu mama mwenzetu aweke akiba ya maneno. Mahakama ilifanya kazi yake. Yasije yakamgeuka tena. Hao vijana wanaomhoji siyo wote wana nia nzuri na yeye.
Aweke akiba ya maneno, asije akatoka mfungwa akabadili yeye.
Sio warumi waite wakorintoAaaaaah warumi hapa umezidi sasa....ina maana amchunie kisa?