chanaga
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 344
- 190
Yaan we dada cjukui lakini kwa muonekano inaonyesha wewe ni mfupi sana cheusi tii ma mdomo mweusi kama kunguru,si kwa umbeo huo.Watu wanasemaga Hamisa ni mnafiki nikajua wanamsingizia, jana ndo nimeamini, huu ukaribu wa Hamisa na mama Kanumba umeanza lini?
Hamisa alimpost Lulu akiwa jela na kumpa pole, leo anaonekana na familia ya Kanumba wakisherekea kwenye uzinduzi wa filamu yake mpya.
Je wanafurahia Lulu kuhukumiwa kifungo jela?
View attachment 632857