Hamisa Mobetto, Mama Kanumba washerehekea Lulu kufungwa?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Watu wanasemaga Hamisa ni mnafiki nikajua wanamsingizia, jana ndo nimeamini, huu ukaribu wa Hamisa na mama Kanumba umeanza lini?

Hamisa alimpost Lulu akiwa jela na kumpa pole, leo anaonekana na familia ya Kanumba wakisherekea kwenye uzinduzi wa filamu yake mpya.

Je wanafurahia Lulu kuhukumiwa kifungo jela?

23733921_316470895501719_5593001765420138496_n.jpg
 
Karibu Warumi tulikumis sana.

Kuhusu familia ya Kanumba ,mdogo ake kanumba Seth pia ameshiriki kwenye hiyo movie ya hamisa ,kwahiyo mama kanumba alimsindikiza mwanae Seth.

Halafu huyo Lulu wakati hamisa ana tifuana na Zari ,lulu alihudhuria pale Mliman city kumpa kampani Zari hilo unaongeleaje?
 
Akijibu hili nitag
 
Tena na kumpongeza juu
Lulu ni kakorofi na kana uswahili balaaa!Mara ngapi anampiga vijembe missa ila hajibiwi
 
Hahaha warumi anampenda Jide pekee. Huyu msanii ni ngumu kumkuta warumi anamsemea mbovu
Sana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] anampenda haswaa!ukitaka kumkera mkere jide
 
Karibu Warumi tulikumis sana.

Kuhusu familia ya Kanumba ,mdogo ake kanumba Seth pia ameshiriki kwenye hiyo movie ya hamisa ,kwahiyo mama kanumba alimsindikiza mwanae Seth.

Halafu huyo Lulu wakati hamisa ana tifuana na Zari ,lulu alihudhuria pale Mliman city kumpa kampani Zari hilo unaongeleaje?
Usinipe umbea, kumbe lulu alikua mlimani
 
Back
Top Bottom