Huliza
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 415
- 1,021
Usipende kuwa serious sana ,Maisha hayarudi nyuma hapo unaelekea uzeeHapana mkuu,
Naumia ni jinsi gani vichaa kama nyie mnajua kutype ujumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kuwa serious sana ,Maisha hayarudi nyuma hapo unaelekea uzeeHapana mkuu,
Naumia ni jinsi gani vichaa kama nyie mnajua kutype ujumbe
Kwa hiyo kuuza mbunye ndiyo kufanya makubwa?I am so proud of you Hamisa.
This girl need to be studied.
Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)
Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.
Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".
Fate is everything.
Fate cane be manipulated. How ?
By "connecting" yourself.
How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).
Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.
Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .
Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.
Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.
Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.
No value for money.
Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.
Duh graduates wa Necta bana
# Haya sasa twende KAZI.
Moderator uzi usiunganishwe
Limwalimu maneno ndiyo chanzo Cha yote ona Sasa kaolewa na wakujaPole sana mkuu ulikosa kitu kikubwa sana kwenye maisha yako . Hamisa mzuri sio poa.
Nimewahi kukutana nae live mara kadhaa.
I know how to read people's energy.
She vibrates and operates in a very higher frequency and she has got a very strong and powerful aura.
Huyu demu hanijui 007, sina maneno mengi atasanda akiendeleza upuuzi wake.Vishu Mtata a.k.a Boyka wa vikindu una mabiti 😂🤣
Mwanasiasa huyu, kila jambo analivutia kwake apate kura nyingi.Kiukweli Likud unatatizo mahala.
Issue ya Hamisa ni nzuri we should celebrate her, lakini mbona umeichanganyia madesa hivi?
Can you please stop! Thank you.
Ametumia UCHI wake vizuriI am so proud of you Hamisa.
This girl need to be studied.
Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)
Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.
Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".
Fate is everything.
Fate cane be manipulated. How ?
By "connecting" yourself.
How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).
Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.
Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .
Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.
Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.
Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.
No value for money.
Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.
Duh graduates wa Necta bana
# Haya sasa twende KAZI.
Moderator uzi usiunganishwe
100% FactKwa kila Hamisa mmoja , kuna kundi kubwa lan wadada/Wanawake ambao wako mtaani, kesho yao na ya kizazi chao haieleweki.
Hamisa njia aliyopitia wengi wamefeli, wamezalishwa watoto wanne kila mmoja baba yake, hakuna matunzo.
Hamisa ni 1 kati ya 200. 199 wamefeli.
Umekuwa mganga siku hizi?Nje ya hoja yako mleta mada, binafsi nadhani unaingia kundi la watu wanaotakiwa kujifanyia assessment kidogo. Kayumba kayumba and kayumba 24/7. Kuna shida mahali mkuu, hata hii hoja ya Mobetto kuihusisha na kayumba kunaonyesha una tatizo!!!
Wewe ndio ina shida. Inaitwa Makaga Campaign. Kama hujui maana ya kampeni there is no way I can help youNje ya hoja yako mleta mada, binafsi nadhani unaingia kundi la watu wanaotakiwa kujifanyia assessment kidogo. Kayumba kayumba and kayumba 24/7. Kuna shida mahali mkuu, hata hii hoja ya Mobetto kuihusisha na kayumba kunaonyesha una tatizo!!!
Kuna uhusiano gani kati ya alichofanya Hamisa na kayumba schools, you must be nuts!!Wewe ndio ina shida. Inaitwa Makaga Campaign. Kama hujui maana ya kampeni there is no way I can help you
Amefanya makubwa kwa kuolewa na Aziz Ki au kwa mahali ya million 30?I am so proud of you Hamisa.