Hamisa Mobetto, Mtoto wa “Kayumba” anaefanya mambo makubwa

Yule manzi anaongea kiingereza hatari mno sijajua kajifunzia wapi. Hamisa kwa ngeli labda anazidiwa na Jokate & Vanessa tu. Kuhusu kutumia papuchi yake kujipatia mafanikio ni kawaida kwa wanawake wengi maarufu na matajiri. Nikifanya tathmini ya kina mama maarufu wenye mafanikio kifedha hapa TZ nitakuta wengi walihusisha papuchi. Kimsingi Hamisa ni gold digger wa mfano. Mtu kama ameamua kula nguruwe acha ale aliyenona.
Ndio watu wajue kusoma Kayumba hakumzuii mtu kuwa fluent in English
 
Shemeji kila mtu ni shujaa katika engo yake, kitu sijaelewa hapa ni kwanini zimehusishwa shule hapa.

Na jamii inatakiwa ipokee nini kutoka kwenye hili bandiko?
naelewa, yeye kachukulia kusoma kayumba Kisha kutoboa kwa kuolewa na azizi basi ni huge life achievement

ambayo ni Bora kuliko walio Soma English medium.
kwani likud ana sema kayumba ni great kuliko em.

Ila kwa wanajamii wanao muona hamisa na life style yake, sioni Cha kuji vunia au kushangilia hapo!.

Ana wanaume 2 walio mzalisha, kaonekana kwenye tuhuma za ajabu ajabu halafu leo aje awe reference ya kayumba is great than em. big nah
binti kiziwi
 
Haya sasa, watu wa kayumba na role model wao.
Oops nimekosea njia 🙆‍♀️
 
Ila tukienda na ule ukweli japo sio jambo la kujivunia au kusifia.

Kwa aina ya maisha ya wanawake wa hapa dar, Hamisa yuko smart sana kuliko graduates wengi sana.

Kuna wanawake wengi sana wasomi wamezalishwa na wanaume wa ovyo wasiokuwa na mchango katika maisha ya wanawake hao na wamegeuka kuwa bitter single mothers.

Hali hiyo ni tofauti kwa Hamisa, siku zote huwa ana fanya smart choice ya mwanaume ambapo mwanaume huyo ni aidha atamsaidia kupush brand yake au kumpa mapene yatakayomsaidia kusogesha maisha yake na mwanae.
 
naelewa, yeye kachukulia kusoma kayumba Kisha kutoboa kwa kuolewa na azizi basi ni huge life achievement

ambayo ni Bora kuliko walio Soma English medium.
kwani likud ana sema kayumba ni great kuliko em.

Ila kwa wanajamii wanao muona hamisa na life style yake, sioni Cha kuji vunia au kushangilia hapo!.

Ana wanaume 2 walio mzalisha, kaonekana kwenye tuhuma za ajabu ajabu halafu leo aje awe reference ya kayumba is great than em. big nah
binti kiziwi
Shemeji my concern is; issues ya Hamisa ingeweza kujadiliwa bila kuweka mambo ya shule hapa.

Nakosa Muunganiko na mtiririko mzuri wa matukio, kuna scenario zaidi ya 3 zinazofanya hii kitu isimake sense; Kuna wanakayumba kibao wanawake wamelost, kuna wana EM kibao wamelost, kuna wana kayumba baadhi wamefanikiwa, kuna wanawake wana EM kibao wamefanikiwa.

Hamisa ni celeb/socialite njia zake za mafanikio ni tofauti na ambao sio maceleb, hivyo si busara akatumika kama inspiration kwa wote, anapaswa kutumika kama inspiration kwa wale wanatumia njia ya umaarufu kufanikiwa, hivyo hatuwezi kuwadiscourage watoto wa kike kusoma/kusoma shule nzuri sababu si lazima waje kuwa maarufu, if they will win, they will win differently.
 
.Hamisa ni celeb/socialite njia zake za mafanikio ni tofauti na ambao sio maceleb, hivyo si busara akatumika kama inspiration kwa wote, anapaswa kutumika kama inspiration kwa wale wanatumia njia ya umaarufu kufanikiwa, hivyo hatuwezi kuwadiscourage watoto wa kike kusoma/kusoma shule nzuri sababu si lazima waje kuwa maarufu, if they will win, they will win differently.
mule mule, ni sawa na batilda umfananishe na hamisa !
 
I am so proud of you Hamisa.

This girl need to be studied.

Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)

Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.

Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".

Fate is everything.

Fate cane be manipulated. How ?

By "connecting" yourself.

How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).

Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.

Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .

Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.

Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.

Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.

No value for money.

Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.

Duh graduates wa Necta bana

# Haya sasa twende KAZI.

Moderator uzi usiunganishwe
Msimguse dada wa taifa, business man mahiri.
 
Ndo huyo mwenye zero?
 
Attachments

  • Screenshot_20250216_025043_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20250216_025043_Opera Mini.jpg
    519.8 KB · Views: 3
Mambo makubwa yenyewe ni ndoa na Aziz kiii 🤣🤣🤣🤣
 
I am so proud of you Hamisa.

This girl need to be studied.

Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)

Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.

Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".

Fate is everything.

Fate cane be manipulated. How ?

By "connecting" yourself.

How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).

Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.

Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .

Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.

Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.

Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.

No value for money.

Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.

Duh graduates wa Necta bana

# Haya sasa twende KAZI.

Moderator uzi usiunganishwe
Kumbe U malaya nao ni kazi ya kupigiwa chapuo!
 
Mambo makubwa kuwa engaged na footballer wa yanga?
 
Back
Top Bottom