Hamisa Mobetto, Mtoto wa “Kayumba” anaefanya mambo makubwa

Hamisa Mobetto, Mtoto wa “Kayumba” anaefanya mambo makubwa

Oya nimukukubali sana the way ulivyo muhandle jamaa very maturely.

Ila dizaini naona kama LIKUD anakuelewa hivi, sema anazunguka zunguka tu kama madalali wa kariakoo😅
Nope hawezi kuwa type yangu. Me I like them young 18 to 22.. I love their auras.
 
Ghosts😂😂😂 so am i that strong living with ghosts oooh
Kwani kuishi na ghosts ndio kuwa strong?

Halafu kwani sentensi yangu ume ielewa aje?

So nikisema " I ghosted her" pia nakuwa nimezungumzia mizimu?
 
I am so proud of you Hamisa.

This girl need to be studied.

Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)

Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.

Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".

Fate is everything.

Fate cane be manipulated. How ?

By "connecting" yourself.

How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).

Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.

Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .

Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.

Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.

Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.

No value for money.

Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.

Duh graduates wa Necta bana

# Haya sasa twende KAZI.

Moderator uzi usiunganishwe
mie nadhan akili kubwa ni kustahimili na kudumu katika ndoa sio kulipiwa mahari kubwa au kumudu kulea watoto wawili kila moja na babake.

Ni uamuzi mgumu wa kijasiri sana kwa mwanaume kamili wa Burkina Faso, kujizatiti kuchukua na kubeba mzigo ulowashinda wanaume wawili wa Dar🐒
 
Putting me in 18/22?!!! You are wrong
Nimemwambia jamaa ili niwe na wewe you have to be 18 to 22. But you sound like someone who was born in 1988 or something
 
Anafanya vizuri kivp? Ana biashara official inayojulikana?
 
Kwa hiyo mkuu unashauri wa kayumba wategemee kutegesha mimba ovyo ovyo na kuvamia mahusiano ya watu ama?

Wanaume wote wa hamisa kaiba. Kuwa makini usije mpitisha binti yako kwenye alama ya tununu atateseka sana
 
Back
Top Bottom