LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #61
Pole sana mkuu ulikosa kitu kikubwa sana kwenye maisha yako . Hamisa mzuri sio poa.Mwalimu samweli maneno ikiwa upo hapa jamiiforums au Kuna anayemjua amfikishie ujumbe kuwa isingekuwa wewe kunidharau na kuniona siwezi kukulipa hela uliyotaka hakika Leo hamisa alikuwa ni mke wangu wa ndoa .
Ila kwakuwa nilikuja na nilikuwa nakuja kwa kuandamana na watoto wa keko ukadhani Mimi ni muhuni kumbe sivyo .
Nenda mobeto Ila jua F bado anakukumbuka kwa mengi hasa vile ulivyoanza kutaka kunikubali Ila kimwalimu kisicho na mbele Wala nyuma kikaziua jitahada zangu .
Niko mbeya siku yanga wakiwa na mechi mbeya basi msindikize shemeji na Mimi nitakuja uwanjani walau nikae sehemu ya wazi unione nilivyo kwasasa na mapenzi yanayoendelea kuniadhibu
Nimewahi kukutana nae live mara kadhaa.
I know how to read people's energy.
She vibrates and operates in a very higher frequency and she has got a very strong and powerful aura.