Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusemaje mkuu? Kwamba mabinti waishie form 4 waingie mtaani kudanga kwa wanaume wenye hela? Ungetolea mfano kwa wanawake angalao level ya spika tulia kidogo ungeeleweka, kuliko kumtumia gold digger kama rejea.I am so proud of you Hamisa.
This girl need to be studied.
Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)
Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.
Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".
Fate is everything.
Fate cane be manipulated. How ?
By "connecting" yourself.
How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).
Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.
Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .
Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.
Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.
Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.
No value for money.
Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.
Duh graduates wa Necta bana
# Haya sasa twende KAZI.
Moderator uzi usiunganishwe
Nimeipenda hii. Iko sahihi.Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .
Halafu unakuta kaandika mwanaume aliesomaFate.... Na vingereza vya rejareja! Kwamba wanawake wanaosoma wanapoteza.... Ni hatari mno kutafakari kwa vidole na kuacha andiko litakaloishi milele.
Hapana mkuu,Inaonekana umeumia sana Hamisa kutolewa mahari ya milioni thelathini maana sio kwa hasira hizo🤣🤣🤣
Hapana mkuu,Wewe mwana saikolojia mzuri sana jamaa atakua kaumia sana..
Yan wewe mzee unatafuta Kila namna kutetea shule zetu za Kidumu na mfagio babu😅ni kweli kipind chetu wakati tunasoma tulikuwa unaambiwa Twende na mbolea debe moja, kipind hicho unaambiwa Twende na marando, migomba, mbegu za mihogo ofcoz tuli jifunza stadi za maisha Ila sio lazima watoto wetu wapitie huko regardless the budget 😅I am so proud of you Hamisa.
This girl need to be studied.
Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)
Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.
Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".
Fate is everything.
Fate cane be manipulated. How ?
By "connecting" yourself.
How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).
Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.
Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .
Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.
Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.
Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.
No value for money.
Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.
Duh graduates wa Necta bana
# Haya sasa twende KAZI.
Moderator uzi usiunganishwe
Mwalimu samweli maneno ikiwa upo hapa jamiiforums au Kuna anayemjua amfikishie ujumbe kuwa isingekuwa wewe kunidharau na kuniona siwezi kukulipa hela uliyotaka hakika Leo hamisa alikuwa ni mke wangu wa ndoa .I am so proud of you Hamisa.
This girl need to be studied.
Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)
Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.
Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".
Fate is everything.
Fate cane be manipulated. How ?
By "connecting" yourself.
How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).
Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.
Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .
Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.
Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.
Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.
No value for money.
Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.
Duh graduates wa Necta bana
# Haya sasa twende KAZI.
Moderator uzi usiunganishwe
Hata ROZAY ilibaki kidogo tu aoe.Akili ya Hamisa ni kubwa kuliko kundi kubwa sana la vijana wanaochangia hapa jf na wa mitaani na hata wanasiasa wengi tu! Ili kumdhalilisha watasema ni k na pia kujifariji na kujustify failure zao! Kwani kuna wanawake wangapi na wana k zao kwa nini hawapati tija nazo! Likud kasema fate is everything na inakuja kwa anayejituma kufanya yake akakutana nayo!
Kugawa mbunye ndiyo mafanikio?I am so proud of you Hamisa.
This girl need to be studied.
Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)
Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.
Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".
Fate is everything.
Fate cane be manipulated. How ?
By "connecting" yourself.
How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).
Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.
Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .
Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.
Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.
Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.
No value for money.
Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.
Duh graduates wa Necta bana
# Haya sasa twende KAZI.
Moderator uzi usiunganishwe
Jackline A. K.A kyline aliyeolewa na Meng tajiri wa kitanzania na Kyline sio form four unamzungumziaje?I am so proud of you Hamisa.
This girl need to be studied.
Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)
Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.
Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".
Fate is everything.
Fate cane be manipulated. How ?
By "connecting" yourself.
How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).
Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.
Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .
Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.
Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.
Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.
No value for money.
Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.
Duh graduates wa Necta bana
# Haya sasa twende KAZI.
Moderator uzi usiunganishwe
Mambo gani makubwa anayofanyaI am so proud of you Hamisa.

HeheheAnajua kutumia kipochi manyoa chake vizuri. Haihitaji Kayumba wa St. Yellow bus.
Ni kujua kuifinyia kwa ndani vizuri na kujua nani wa kumfinyia.