Hamisa Mobetto, Mtoto wa “Kayumba” anaefanya mambo makubwa

Kwa hiyo kuuza mbunye ndiyo kufanya makubwa?
Kwa mawazo yako haya haiyumkini ndiyo maana wazungu wanasema mtanzania IQ yake haifiki 10.
 
Limwalimu maneno ndiyo chanzo Cha yote ona Sasa kaolewa na wakuja
 
Kwa kila Hamisa mmoja , kuna kundi kubwa lan wadada/Wanawake ambao wako mtaani, kesho yao na ya kizazi chao haieleweki.

Hamisa njia aliyopitia wengi wamefeli, wamezalishwa watoto wanne kila mmoja baba yake, hakuna matunzo.

Hamisa ni 1 kati ya 200. 199 wamefeli.
 
Kiukweli Likud unatatizo mahala.

Issue ya Hamisa ni nzuri we should celebrate her, lakini mbona umeichanganyia madesa hivi?

Can you please stop! Thank you.
Mwanasiasa huyu, kila jambo analivutia kwake apate kura nyingi.
 
Ametumia UCHI wake vizuri
 
100% Fact
 
Kama mtu mzima anaona Hamissa kuolewa akiwa na watoto wawili ni kufanya kitu kikubwa,

Bas kama jamii tumefeli kuelimisha vijana wetu
 
Nje ya hoja yako mleta mada, binafsi nadhani unaingia kundi la watu wanaotakiwa kujifanyia assessment kidogo. Kayumba kayumba and kayumba 24/7. Kuna shida mahali mkuu, hata hii hoja ya Mobetto kuihusisha na kayumba kunaonyesha una tatizo!!!
 
Umekuwa mganga siku hizi?
 
Nje ya hoja yako mleta mada, binafsi nadhani unaingia kundi la watu wanaotakiwa kujifanyia assessment kidogo. Kayumba kayumba and kayumba 24/7. Kuna shida mahali mkuu, hata hii hoja ya Mobetto kuihusisha na kayumba kunaonyesha una tatizo!!!
Wewe ndio ina shida. Inaitwa Makaga Campaign. Kama hujui maana ya kampeni there is no way I can help you
 
Wewe ndio ina shida. Inaitwa Makaga Campaign. Kama hujui maana ya kampeni there is no way I can help you
Kuna uhusiano gani kati ya alichofanya Hamisa na kayumba schools, you must be nuts!!
 
Amefanya makubwa kwa kuolewa na Aziz Ki au kwa mahali ya million 30?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…