kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Anashindna na zari kivipUmeona eeeh hamisa kashapata umaarufu autumie kujijenga apate hela, tatizo anashindana na zarina tu hapo. Wataumbuka aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan kesho job ni mwendo wa kusinzia tuu[emoji42] [emoji42] [emoji42][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila nikitaka kulala kunaibuka jipya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutaka mambo makubwa ka nyumba wakati zarina ni mdangaji wa kimataifa na kamzidi mengi, sasa matokeo yake anakesha kwa waganga
Mnakesha wote siyo, maana aisifue mvua imemnyea. Na kumbe lile gorofa siyo la zari?Kutaka mambo makubwa ka nyumba wakati zarina ni mdangaji wa kimataifa na kamzidi mengi, sasa matokeo yake anakesha kwa waganga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nilale maana kibarua bado nakitaka.Yaaan kesho job ni mwendo wa kusinzia tuu[emoji42] [emoji42] [emoji42]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile ghorofa diamond kawanunulia wanawe wa South, hyo ya voice note ya mobetto imemuacha uchiMnakesha wote siyo, maana aisifue mvua imemnyea. Na kumbe lile gorofa siyo la zari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zari hawezo kumbia wanga wakati mme wake Ivan alikuwa mganga hua SA. Tumia ubongo kuwaza na siyo kamasi.Hamisa kweli mchawi...kwani uongo?? wewe unadhani Zari kwanini hakanyagi tena Bongo? kakimbia wanga
Mm nikafikri ni la zari, kumbe wote wadangaji tu.Lile ghorofa diamond kawanunulia wanawe wa South, hyo ya voice note ya mobetto imemuacha uchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe sijaamini kabisa [emoji15] .....Km na huyo anaenda basi hakuna msanii asiyeendaKuna mwaka nimeenda tanga, wilaya ya handeni , kijiji kimoja nimekihifadhi jina.
Nilikutana na wasanii wa Bongo flavour wakubwa wakiwa kwa waganga wa Jadi. Sio siri. Nilipata kuuliza mwenyeji wangu sikuamini niliyoambiwa. Mpka Leo nilijiapiza sitakuja kumuamini binadamu yoyote kutokana na kumkuta msanii ambae sikutarajia ningemkuta kwenye mazingira Yale.
Huyo msanii kwa sasa amehamia kwa Trump na aliooa wale mabinti kutoka kwa uncle kagame. SIKUAMINI JAMANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
KwamsisiKuna mwaka nimeenda tanga, wilaya ya handeni , kijiji kimoja nimekihifadhi jina.
Nilikutana na wasanii wa Bongo flavour wakubwa wakiwa kwa waganga wa Jadi. Sio siri. Nilipata kuuliza mwenyeji wangu sikuamini niliyoambiwa. Mpka Leo nilijiapiza sitakuja kumuamini binadamu yoyote kutokana na kumkuta msanii ambae sikutarajia ningemkuta kwenye mazingira Yale.
Huyo msanii kwa sasa amehamia kwa Trump na aliooa wale mabinti kutoka kwa uncle kagame. SIKUAMINI JAMANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Mbona nahisi kama unamsingizia huyo msanii.Kuna mwaka nimeenda tanga, wilaya ya handeni , kijiji kimoja nimekihifadhi jina.
Nilikutana na wasanii wa Bongo flavour wakubwa wakiwa kwa waganga wa Jadi. Sio siri. Nilipata kuuliza mwenyeji wangu sikuamini niliyoambiwa. Mpka Leo nilijiapiza sitakuja kumuamini binadamu yoyote kutokana na kumkuta msanii ambae sikutarajia ningemkuta kwenye mazingira Yale.
Huyo msanii kwa sasa amehamia kwa Trump na aliooa wale mabinti kutoka kwa uncle kagame. SIKUAMINI JAMANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wanaume kuweni makini, mnarogwa sana aisee... Imagine una michepuko kadhaa na yote inawaendea kwa wazee wa busara.
Nipe sababu ya kukuroga kwanza. Sitaki kuchuma dhambi isiyo na faida hapa duniani.Naomba niroge basi na mimi jamani..! Maana wengine haturogeki mpk tunatamani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha kutemea mate na kung'ata menoAh..km ni mate kuna wananzengo hku uraiani wanatema mate vbaya mno kinachowavuruga lile jina tu na mafanikio mbona hawaji kumng'ang'ania swahiba wng urasa hp?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna watu wanawake mna confidence mpaka ardhi inatetemeka!Nipe sababu ya kukuroga kwanza. Sitaki kuchuma dhambi isiyo na faida hapa duniani.
Misa analoga sababu anatafuta kununuliwa nyumba... Mi namshukuru Mungu najua kuitafuta pesa tena kuliko hata baadhi ya wanaume. Sihitaji kujengewa nyumba wala kununuliwa RAV4. So far sina sababu ya kuroga mtu.