Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

mie naona hii ni kiki tu...wanatuchezea vichwa vyetu hawa...simu ya mganga inarekodiwa..mfyuuuuu
ukisikiliza clips inaonekana huyo mganga anatumiwa na mama Diamond,mama Hamisa alishaonesha mashaka kama kweli answeza kuwasaidia au kuwashindilia ndio maana akaomba aongee nae yeye kwanza
Hamisi ameuzwa na rafiki wa karibu sana,ambae amemlengesha kwa mganga anaefahamiana na mama diamond,kisha rafiki akawatonya wasubiri simu ikipigwa warekodi.
Hamisa ana uchaguzi aidha aombe radhi aanze upyaaaaa au aende mahakamani kuomba asafishwe
 

Hamisa piga kimya,ukiongea tu hili sakata linakugeukia....ILA NA WEWE DIAMOND umsikilize HAMISA,yaani mahela yote hayo unamwacha mwenzio anaadhirika hivi???
 
Hamisa piga kimya,ukiongea tu hili sakata linakugeukia....ILA NA WEWE DIAMOND umsikilize HAMISA,yaani mahela yote hayo unamwacha mwenzio anaadhirika hivi???
Akikaa kimya anajimaliza kibiashara
Hamisa ana ubalozi sijui wa kutangaza nywele,nani atakubali bidhaa yake itangazwe na mlozi?
 
Ahsante umemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Mange issue kidogo anamuingiza Wema mbona hajawachamba wakina maimartha....rachel Temu kamuona Wema tu?



Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama shida Mange why amuingize Missa!hii sio Mara ya kwanza yaani wema ana chuki na hamisa!akubali kashashindwa kila Zama na wakati wake!wema sasa hivi kabaki na chakubanga tu!hana lolote

[emoji3][emoji16][emoji16]kumbe alikaririshwa majibu ya miss Tanzania hana lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa unanichekesha mnoo tukija kwenye issue za missa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mara ngapi Mange anamuingiza Wema kisa Hamissa??

Huwa wanapewa maswali wote wanaoingia miss tz....maswali 5 kila mtu ili wajiandae...uliza yoyote alieshiriki miss tz labda utaratibu ubadilishwe leo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…