Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi


Say what now? Basi haka katoto kameishiwa kimaisha, ni bora ahame nchi tu aende Nigeria walikokubuhu ushirikina, hapa Bongo hana tena thamani.
 
Huu ubuyu nimeupata mda sana,kila nkija huku haujawekwa, mama ni mwalimu na ndo wanaoturekebisha tunapokosea ila kwa hamissa ni tofauti kabisa, yaani naona wanaona maisha hayawezi kwenda bila Diamond.


Mademu wa kibongo kwa kweli maisha yamewashinda. Alianzaga Wema kumroga Diamond akishirikiana na Aunty Ezekiel, na sasa haka kademu. Yaani mtu unashindwa hata kuendesha maisha yako eti unamtegemea mtu, ataishi hivi mpaka lini, kuna kesho na keshokutwa Diamond hatakuwepo.
 


Huyu Hamisa inabidi akamatwe tu na kufundishwa kuwa mtu kama hana nia nawe usijilazimishe kwa kumuendea kwa waganga ili akuoe kwani kuna wengine wamekingwa hadi mapumbu, unaroga kumbe unajiua ama kujiroga mwenyewe kwa kujipachika mikosi ya kuto olewa unabaki kuwa kipozeo cha wengine kutwa kucha. Hapa asipojiua mwaka huu basi inabidi arudi kijijini tu akalime, kwa Dar kajilostisha ile mbaya.
 


Maisha ya maigizo yalimshinda Wema na sasa yanelekea kumshinda Hamisa, tena vibaya sana. Hili liwe fundisho kwa mademu wa kibongo, ya nini kung'ang'ania penzi usilostahili, khaaaa?
 
Ana mloga mtu mwenyewe chibu anavosifika kwa ushirikina usio wa kawaida
 
Mi nilikuwa najuaga kuroga ni hadithi tu ila nikienda saloon madada duu wakianza story had utashangaa hadi wamama watu wazima, hafu mbaya waganga eti hupaka dawa awaingizie kwa dudu huyo mganga ka si mhuni nini anatamani, mi huo ujinga ulishanishinda aisee,
 
Alimfanyia nini zari? Zari alimuacha mume na watoto watatu akamfata mtoto mdogo unaona ni haki? Hata zari karma yake ilimpata mapema zaidi
Zari aliachanaga na Ivan siku nyingi, though ule ujinga alokuwa anafanya na diamond ulimuumiza Ivan, uzuri na yeye diamond kaja kumuumiza kupitia hamisa, tena mapenzi yamemuumiza Zari kuliko kifo cha mumewe na mamake, maana siku ya msiba wa mamake alikuwa anatekenywa tu na Diamond
 
Naona timu tukianao kama kawaida kueneza simu kwa Misssa [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]nacheka kichinaaa!!poleni aiseeh!nasema mtapata tabu sanaa!!!

Leo mnaweka na viporo pyeeree
 
Say what now? Basi haka katoto kameishiwa kimaisha, ni bora ahame nchi tu aende Nigeria walikokubuhu ushirikina, hapa Bongo hana tena thamani.
Kuhusu uchawi hawa wabongo muvi kama huwajui kaa kimya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!tunaowajua mpk waganga wao!hakuna asie mshirikinaa
 
Tatizo huyo cha uchawi nayeye kazidi kujidhalilisha kwanini nyie team yake msimshauri
 
Wewe kwa sakata La uchawi ndo arudi kijijin nambie msanii gani harogii!![emoji16][emoji16]punguza chuki kakaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…