Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe una chuki tu na Hamisa huna lolote!
Utapata tabu sanaa!
Sio level yako yule !nakupa pole tena!

Acha wivu wa kike!

Of course Hamisa hawezi kuwa level yangu, mi si mchawi na sijawahi kuroga familia ya mke wangu hata siku moja.
 
Unaumwaaa!wivu mbaya jamani!

Hamisa hakutaki kwanza huna lolote upo kama jogoo wa kuchorwa vile!!lazima umchukie!mwanaume una haiba ya kike akutake nani!!!hamisa hakutakii[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]!!!

Shosti poleeeeee!!

Hamisa ndiyo wewe na ninakiri sijawahi kukutongoza hata siku moja. Mimi sipendi demu anayezalishwa hovyo hovyo ili atunzwe na wanaume kwa kisingizio cha kunizalia. Kwendraaaa kuroga kule, usipoacha huu ujinga wako ipo siku utakuja juta when it's too late......wanaume wameshakushitikia tayari.
 
Hutakiwiiiii!!!pambana na hali yako kaka!!hakutaki shosti mwenzie anataka wanaume wanaojitambua

Si kweli Hamisa hataki wanaume wanaojitambua, kama ni kweli asingewaroga kuwa misukule yake. Mwanamme anayejitambua ni yule asiyemtaka Hamisa licha ya kutumia uchawi alionao. Upo hapo au ndiyo umeniandea Bagamoyo?
 
Picha mpya ya Hamisa Mobetto aliponaswa jana Bagamoyo hii hapa.....inasadikika hapo ni baada ya kuchoma moto jina la Diamond na kula masizi yake ili jamaa achanganikiwe na kumuoa kisha kuwa msukule wake. Anachanganya mitambo kuona ataolewa lini na Mondi awatambie Wema na Zari.
 
Kwani we dume mi nlijua we shosti mwenzangu[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]!!!
We shosti bwana maana wapenda umbea km wote hamna mwanaume mwenye tabia za kimbea
 
Si kweli Hamisa hataki wanaume wanaojitambua, kama ni kweli asingewaroga kuwa misukule yake. Mwanamme anayejitambua ni yule asiyemtaka Hamisa licha ya kutumia uchawi alionao. Upo hapo au ndiyo umeniandea Bagamoyo?
Wewe mwenyewe hujitambui mwanaume anaejitambua hawezi kuja kwenye page za kidaku!

Badilikaa shostiii!!!
 
Of course Hamisa hawezi kuwa level yangu, mi si mchawi na sijawahi kuroga familia ya mke wangu hata siku moja.
Hakuna mke atakeukata wewe shosti mwenzetu!!!huna Lolote mwanaume hawi mbea mbea!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]yaani wewe unaonekana kabisa ni shosti mwenzetu halafu sijui umeshea nae bwanaa maana we...si kwa michuki hyoooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji2] [emoji2] [emoji13] bibi pambana na hali yako!we umependwa na yeye kapendwa kama weeeee!!!punguza mchecheto
 
Asilimia kubwa mastar wabongo wanaenda kwa waganga mnooo
Kuna video ya kipindi cha nyuma mama ake wema analalamika wema anaenda kwa waganga
Analalamika yeye hakumzaa wema kwa madawa lkn wema anaenda mnoo kwa waganga mashosti wanampoteza
Wasibishe sasa kuwa hawaendi
Mbona aunt alishakiri yes alienda kwa waganga
 
Kwani we dume mi nlijua we shosti mwenzangu[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]!!!
We shosti bwana maana wapenda umbea km wote hamna mwanaume mwenye tabia za kimbea

Hamisa nina ungo hapa siutumii kwani mke wangu kaenda masomoni, tafadhali njoo uuchukue upate kuruka vizuri usiku.
 
Wewe mwenyewe hujitambui mwanaume anaejitambua hawezi kuja kwenye page za kidaku!

Badilikaa shostiii!!!

Wewe Hamisa kuroga wanaume ni udaku, toka lini? Mbona hata Majizo anajuta kuzaa nawe na wala hajuwi kwanini alitembea na wewe. Hakuna asiyejuwa kuwa wewe ni mchawi, katubu tu dhambi zako usamehewe na kunyolewa kipara.
 
Hakuna mke atakeukata wewe shosti mwenzetu!!!huna Lolote mwanaume hawi mbea mbea!

Wewe hamisa unajisumbua bure, kuroga kwako si udaku ni habari za mujini na kila mtu anakushangaa kulazimisha kuolewa na mtu asiyekutaka. Unapoteza hela zako bure kupiga ramli za kijinga, unaacha kulima.
 
Hamisa umependwa na nani, mbona unawaroga uliyezaa nao ili wakupende ila hawakutaki.
 
Hamisa umependwa na nani, mbona unawaroga uliyezaa nao ili wakupende ila hawakutaki.
Shosti mnaroga wote na hamisaa!usingemshupalia hivi asilani!!![emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Wewe hamisa unajisumbua bure, kuroga kwako si udaku ni habari za mujini na kila mtu anakushangaa kulazimisha kuolewa na mtu asiyekutaka. Unapoteza hela zako bure kupiga ramli za kijinga, unaacha kulima.
Iwe habari ya mjini iwe breaking news ila jua kua tunaroga wote tupate mabwana mi na wewe tuolewe!!!!usijisahaulishe hapaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…