Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dear EX poleee mwanaume mwenye chuki km wewe ni shidaa
Hujanijibu swali langu. jibu kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dear EX poleee mwanaume mwenye chuki km wewe ni shidaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe una chuki tu na Hamisa huna lolote!
Utapata tabu sanaa!
Sio level yako yule !nakupa pole tena!
Acha wivu wa kike!
Unaumwaaa!wivu mbaya jamani!
Hamisa hakutaki kwanza huna lolote upo kama jogoo wa kuchorwa vile!!lazima umchukie!mwanaume una haiba ya kike akutake nani!!!hamisa hakutakii[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]!!!
Shosti poleeeeee!!
Hutakiwiiiii!!!pambana na hali yako kaka!!hakutaki shosti mwenzie anataka wanaume wanaojitambua
Kwani we dume mi nlijua we shosti mwenzangu[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]!!!Hamisa ndiyo wewe na ninakiri sijawahi kukutongoza hata siku moja. Mimi sipendi demu anayezalishwa hovyo hovyo ili atunzwe na wanaume kwa kisingizio cha kunizalia. Kwendraaaa kuroga kule, usipoacha huu ujinga wako ipo siku utakuja juta when it's too late......wanaume wameshakushitikia tayari.
Wewe mwenyewe hujitambui mwanaume anaejitambua hawezi kuja kwenye page za kidaku!Si kweli Hamisa hataki wanaume wanaojitambua, kama ni kweli asingewaroga kuwa misukule yake. Mwanamme anayejitambua ni yule asiyemtaka Hamisa licha ya kutumia uchawi alionao. Upo hapo au ndiyo umeniandea Bagamoyo?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]yaani wewe unaonekana kabisa ni shosti mwenzetu halafu sijui umeshea nae bwanaa maana we...si kwa michuki hyoooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji2] [emoji2] [emoji13] bibi pambana na hali yako!we umependwa na yeye kapendwa kama weeeee!!!punguza mchechetoPicha mpya ya Hamisa Mobetto aliponaswa jana Bagamoyo hii hapa.....inasadikika hapo ni baada ya kuchoma moto jina la Diamond na kula masizi yake ili jamaa achanganikiwe na kumuoa kisha kuwa msukule wake. Anachanganya mitambo kuona ataolewa lini na Mondi awatambie Wema na Zari.
View attachment 859820
Kwani we dume mi nlijua we shosti mwenzangu[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]!!!
We shosti bwana maana wapenda umbea km wote hamna mwanaume mwenye tabia za kimbea
Wewe mwenyewe hujitambui mwanaume anaejitambua hawezi kuja kwenye page za kidaku!
Badilikaa shostiii!!!
Hakuna mke atakeukata wewe shosti mwenzetu!!!huna Lolote mwanaume hawi mbea mbea!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]yaani wewe unaonekana kabisa ni shosti mwenzetu halafu sijui umeshea nae bwanaa maana we...si kwa michuki hyoooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji2] [emoji2] [emoji13] bibi pambana na hali yako!we umependwa na yeye kapendwa kama weeeee!!!punguza mchecheto
Iwe habari ya mjini iwe breaking news ila jua kua tunaroga wote tupate mabwana mi na wewe tuolewe!!!!usijisahaulishe hapaaWewe hamisa unajisumbua bure, kuroga kwako si udaku ni habari za mujini na kila mtu anakushangaa kulazimisha kuolewa na mtu asiyekutaka. Unapoteza hela zako bure kupiga ramli za kijinga, unaacha kulima.