[emoji2] [emoji2] [emoji2] nafikiri wewe ndo mganga mwenyewe unaetumika kurogaaa!!mpk mambo yangu na majizzo wayajua!!!unajua mpk wachawi wanayolewa punguza roho ya husda wewee!! Mtoto wa kike hata km tunashea usinichukie hvyooo bwanaWewe Hamisa kuroga wanaume ni udaku, toka lini? Mbona hata Majizo anajuta kuzaa nawe na wala hajuwi kwanini alitembea na wewe. Hakuna asiyejuwa kuwa wewe ni mchawi, katubu tu dhambi zako usamehewe na kunyolewa kipara.
Wewe upo Kama Mimi.Huyo Juma Lokole mbona ni maarufu sana aisee (ana shughuli gani mjini)
Iwe habari ya mjini iwe breaking news ila jua kua tunaroga wote tupate mabwana mi na wewe tuolewe!!!!usijisahaulishe hapaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nafikiri wewe ndo mganga mwenyewe unaetumika kurogaaa!!mpk mambo yangu na majizzo wayajua!!!unajua mpk wachawi wanayolewa punguza roho ya husda wewee!! Mtoto wa kike hata km tunashea usinichukie hvyooo bwana
Haaaaaaa umempa za usoMajizo mwenyewe si alisema anajuta kuzaa nawe na hata hajuwi kwanini alitembea nawe. Sasa jiulize mtu aliyetembea nawe hajuwi kwanini alikuchafua mavuzi, si haibu hii?
Haaaaaaa umempa za uso
We nawe hebu kaoge ulale huko mwanamke hutulii kupumzika umekalia umbea tuMajizo mwenyewe si alisema anajuta kuzaa nawe na hata hajuwi kwanini alitembea nawe. Sasa jiulize mtu aliyetembea nawe hajuwi kwanini alikuchafua mavuzi, si haibu hii?
Punguza chuki na husda mwanamke yatakushinda kutwa Kucha kutaka kusutana...nyau weee!au we ndo mama Othman etii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawa mademu wa mjini wamezidi uchawi, wanaroga wanaume za watu ili wawekwe mjini. Diamond amkamate tu Hamisa na kumpa kibondo cha nguvu kisha amchukue mtoto wake. Mtoto mdogo tu anaroga familia nzima ili apedwe kwa kulazimisha, it's a shame.
We nawe hebu kaoge ulale huko mwanamke hutulii kupumzika umekalia umbea tu
Punguza chuki na husda mwanamke yatakushinda kutwa Kucha kutaka kusutana...nyau weee!au we ndo mama Othman etii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mke mwenza jamani usinichukie...!!!Hamisa umejishusha sana hadhi yaani mpaka unatia kinyaa siku hizi. Sasa umeumbuka, sijuwi utamuwinda mwanamme gani uje kumroga pia? Pole sana mtoto usiyejitambua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mke mwenza jamani usinichukie...!!!
Wewe si mwanaume ni mwanamke km Mimi!!!!