Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Wewe Hamisa kuroga wanaume ni udaku, toka lini? Mbona hata Majizo anajuta kuzaa nawe na wala hajuwi kwanini alitembea na wewe. Hakuna asiyejuwa kuwa wewe ni mchawi, katubu tu dhambi zako usamehewe na kunyolewa kipara.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nafikiri wewe ndo mganga mwenyewe unaetumika kurogaaa!!mpk mambo yangu na majizzo wayajua!!!unajua mpk wachawi wanayolewa punguza roho ya husda wewee!! Mtoto wa kike hata km tunashea usinichukie hvyooo bwana
 
Iwe habari ya mjini iwe breaking news ila jua kua tunaroga wote tupate mabwana mi na wewe tuolewe!!!!usijisahaulishe hapaa
Mchawi.png
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nafikiri wewe ndo mganga mwenyewe unaetumika kurogaaa!!mpk mambo yangu na majizzo wayajua!!!unajua mpk wachawi wanayolewa punguza roho ya husda wewee!! Mtoto wa kike hata km tunashea usinichukie hvyooo bwana

Majizo mwenyewe si alisema anajuta kuzaa nawe na hata hajuwi kwanini alitembea nawe. Sasa jiulize mtu aliyetembea nawe hajuwi kwanini alikuchafua mavuzi, si haibu hii?
 
Haaaaaaa umempa za uso

Hawa mademu wa mjini wamezidi uchawi, wanaroga wanaume za watu ili wawekwe mjini. Diamond amkamate tu Hamisa na kumpa kibondo cha nguvu kisha amchukue mtoto wake. Mtoto mdogo tu anaroga familia nzima ili apedwe kwa kulazimisha, it's a shame.
 
Write your reply...hahahhaha huu Uzi jamani....pugi karaba
wenye team wanajitekenyaaaa hawaamini kama boss wao ni kigagula
 
Majizo mwenyewe si alisema anajuta kuzaa nawe na hata hajuwi kwanini alitembea nawe. Sasa jiulize mtu aliyetembea nawe hajuwi kwanini alikuchafua mavuzi, si haibu hii?
We nawe hebu kaoge ulale huko mwanamke hutulii kupumzika umekalia umbea tu
 
Hawa mademu wa mjini wamezidi uchawi, wanaroga wanaume za watu ili wawekwe mjini. Diamond amkamate tu Hamisa na kumpa kibondo cha nguvu kisha amchukue mtoto wake. Mtoto mdogo tu anaroga familia nzima ili apedwe kwa kulazimisha, it's a shame.
Punguza chuki na husda mwanamke yatakushinda kutwa Kucha kutaka kusutana...nyau weee!au we ndo mama Othman etii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
We nawe hebu kaoge ulale huko mwanamke hutulii kupumzika umekalia umbea tu

Umbea wakati aliyelala nawe anajuta kwanini alikujua? Sikusema mimi alisikika akisema mwenyewe huku akilia. Nafikiri alikuwa anasikitia kukumwagia shahawa zake.
 
Punguza chuki na husda mwanamke yatakushinda kutwa Kucha kutaka kusutana...nyau weee!au we ndo mama Othman etii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hamisa umejishusha sana hadhi yaani mpaka unatia kinyaa siku hizi. Sasa umeumbuka, sijuwi utamuwinda mwanamme gani uje kumroga pia? Pole sana mtoto usiyejitambua.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mke mwenza jamani usinichukie...!!!
 
Unaona unavyojichanganya, mie si Zari ama kipozeo cha Diamond....mimi ninawatafuna nyie ila hamnirogi ng'ooo, kamrogeni Diamond na familia yake tu ili awatunze na kuwaweka mjini.
 
Wewe si mwanaume ni mwanamke km Mimi!!!!
 
Back
Top Bottom