Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
- Thread starter
- #521
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nafikiri wewe ndo mganga mwenyewe unaetumika kurogaaa!!mpk mambo yangu na majizzo wayajua!!!unajua mpk wachawi wanayolewa punguza roho ya husda wewee!! Mtoto wa kike hata km tunashea usinichukie hvyooo bwanaWewe Hamisa kuroga wanaume ni udaku, toka lini? Mbona hata Majizo anajuta kuzaa nawe na wala hajuwi kwanini alitembea na wewe. Hakuna asiyejuwa kuwa wewe ni mchawi, katubu tu dhambi zako usamehewe na kunyolewa kipara.