Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Aisee wanajua mitaa ya waganga hatari, sio mbagala tu na kwingine sijui wa nafanya hivo ili.iweje

Sent using Jamii Forums mobile app
yani alishindwa kumloga majey anamloga mond familia yenyewe iyo ya shake well before use hamna atachoambulia,na kuna kipindi alilalamika mama mond anataka kummaliza yeye na mwanae
 
Dawa kutulia tu.
Unaalikwa baby njoo ule dinner,umeisha,nilishakuta wali na vibamia vimesimamishwa kwa mbwembwe kwenye sahani ya ubwabwa hapo hapo nikavunga nina harisha
 
Kweli kabisa na pia uyo baby mama analoga ila ilo la voice note sijalipata vizuri,ivi inawezekanaje ukampgia mganga simu ukamwelezea shida zako zote bila kufika kilingeni mi siami labda kama alirekodiwa akiwa kwa maganga anaongea apo sawa otherwise wanamsingizia
 
yani alishindwa kumloga majey anamloga mond familia yenyewe iyo ya shake well before use hamna atachoambulia,na kuna kipindi alilalamika mama mond anataka kummaliza yeye na mwanae
Majey mwenyewe mchawi ndio mana alishindwa kumroga
 
Je kama mganga yupo mbali nae kapewa namba aeleze shida zake atatumiwa dawa!
 
mmh hamna uganga wa ivo zaidi ya kutapeliwa,anawezaje ongea mambo mazito ivo kwenye simu labda kama ni mganga wake wa siku zote
Je kama mganga yupo mbali nae kapewa namba aeleze shida zake atatumiwa dawa!
 
Dawa kutulia tu.
Unaalikwa baby njoo ule dinner,umeisha,nilishakuta wali na vibamia vimesimamishwa kwa mbwembwe kwenye sahani ya ubwabwa hapo hapo nikavunga nina harisha
Kweli aisee hapo nikuwa makini tu na misosi, hahaaaa eti wali na vibamia vimesimamishwa kumbe kashavinenea hivo tayari loh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani alishindwa kumloga majey anamloga mond familia yenyewe iyo ya shake well before use hamna atachoambulia,na kuna kipindi alilalamika mama mond anataka kummaliza yeye na mwanae
Mi naona kuiloga familia ya mond atajimaliza watu wa Chigoma kwa ulozi hawa jambo aisee, atulie hili sakata liishe mambo yaendelee na maisha yake, Zari atakuwa kafurahi huko aliko aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamisa alivyokuwaga anapendwa na hiyo familia huwezi amini kama wamemgeuka ,kila mwanamke wa dai mwisho wa siku kwao ni mbaya.. Tununu nae akome kudadandia treni kwa mbele alishapata na kichaa cha uzazi lakini bado hataki kuachana na hiyo familia na team yake wanavyombembelezea kwa mond sasa
 
mmh hamna uganga wa ivo zaidi ya kutapeliwa,anawezaje ongea mambo mazito ivo kwenye simu labda kama ni mganga wake wa siku zote
kuchanganyikiwa dada!
Huku zari kasusa goli lipo wazi lakini jamaa hasomeki na wao wanaitaka nafasi kwa tamaa zao,wakipelekewa namba watapiga tu
 
Mhhhh jamani hivi Hamisa ana akili za kushikiwa ama?? au na yy wamemroga ili awe kama zezeta kwa huyo mond. Halafu ipo siku huyo mond atajuta na kukumbuka maneno yake machafu kwa mzazi mwenzie. Any way life goes on. Kuna ambaye alijua sakata la Bashite na vyeti feki lingeisha? kila kitu kina mwanzo na mwisho. Kama kuroga watu wanarogaaa kila kukicha wanasiasa na watu wakubwa na familia zao. Cha msingi Hamisa ajielewe aaache yote aanze upya hata kama atanyang'anywa kila kitu aanze upya. Umaarufu una harufu avumilie hiyo harufu
 
Kweli aisee hapo nikuwa makini tu na misosi, hahaaaa eti wali na vibamia vimesimamishwa kumbe kashavinenea hivo tayari loh
Sent using Jamii Forums mobile app
uchawi wa mchuzi wa vibamia hatari dada
vibamia vinasimamishwa kwenye mlima wa wali kama kete za draft,ukichomoa tu umeisha
 
Ki ukweli hamissa nilimuonea huruma.ila baada ya kuzisikiliza hizo voice note.ya kwanza sauti sijui ya mamaake.ila hiyo ya 2 haa. Ni yeye kabisa. Kumbe pale pamelipiwa kodi tu. Na karibu inaisha. Mjini kweli pagumu. Mwanamke wa aina hii anaweza akakuua kimya kimya. Na diamond na yeye naona kaelezea kwa upande wake hakufurahishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…