Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Mi nakuambieni hata daimond amuoe nanii atakua mbaya tu tuombeni uzima,mi nashindwa kuwa upande wowote maana familia ya diamond sio ya kuitetea kabisaa,halaf kama clio imetengenezwa maana watu wakiona kuna mgogoro wanaongeza na kusuka zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond hawezi kuoa yule ana amini akioa umaarufu utaisha, anategemea kiki, ila ya madawa Hamisa huonekana hzo sehemu sio siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidii mwanaume hayuko upande wake ,nimeona diamond anaongea shit sijui misa anajisikiaje na ukute hapo misa anasingiziwa bora iwe kweli ,,siku zote nasema ukioata mpenzi au mume anaemsikiliza sana mama yake akawa kipofu kabisa haoni hata matatizo ya mama yake UTAPATA TABU SANAA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakwel hata mm sijui anajiskia vip! Ila maneno yanauma sana hasa uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nilipoanza kusikiliza hizo clip wanazodai ni Hamisaanaongea na Mganga. Ila akili yangu imekataa kukubali ni sauti ya Hamisa. Ila Hamisa sasa hivi anapita kwenye magumu mengi namuonea hadi hiruma. Nadhani kuwa kimya kutamfanya aweze kuishinda hii vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu. Nimeumia kama vile ni mimi. Ila hata hili litapita tu. Anapitia wakati mgumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakwel hata mm sijui anajiskia vip! Ila maneno yanauma sana hasa uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua mwanaume mwenye busara kwa hili angekaa kimya tu akaacha mama yake aongee weee basi ,angekaa kimyaa ndio maana mama daimond ana kiburi na kusema ye ndio final say maana wanaelewana sana na mwanae hadi kwenye mambo ya kipuuzi wanasikilizana tu

Mi ningekuwa Hamisa ningefanya kitu cha kuweka mipaka na familia ya mond,kuanzia mond mwenyewe akae nae mbali walee mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom