cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Diamond hawezi kuoa yule ana amini akioa umaarufu utaisha, anategemea kiki, ila ya madawa Hamisa huonekana hzo sehemu sio siriMi nakuambieni hata daimond amuoe nanii atakua mbaya tu tuombeni uzima,mi nashindwa kuwa upande wowote maana familia ya diamond sio ya kuitetea kabisaa,halaf kama clio imetengenezwa maana watu wakiona kuna mgogoro wanaongeza na kusuka zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app