Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Ndo shida ya hayo mambo ya uganga aisee na mond alishaingia line mamake ndo akamnasua kinguvu, na siku hyo mama mkwe alimdunda Hamisa Madale, sasa kinachomfanya amng'ang'anie mond ni nini, mama mond alishasema Kigoma hatoki boy aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ya hamisa na mama yake zimedumaa,wanawaza vya kupewa na kupata mtu maarufu
Kama Hamisa angekua wa maana angeshabwaga manyanga hadharani kama zari,kwa sababu hana cha kupoteza ataishi kwa child support
Duamond ni mgumu kuhonga kwanza,ni wema tu alibahatika alipewa 50 aende china akafanyia pati,akapewa gari akaliuza kwa nyodo leo anatembelea uber bajaji
 
Duuh
 
Kabisa aisee Zari bora aliikimbia hii familia si ya mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Halaf dai haonagi madhaifu ya ndugu zake,ni wa kumuacha,ukiwa na mahusiano na diamond usijulikane kabisa na ndugu zake labda mpaka ndoa tu,wale watu wagumu sana kuishi nao karibu kila mwanamke wa diamond ananp matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2018-09-04-17-31-11.png
 
Akili ya hamisa na mama yake zimedumaa,wanawaza vya kupewa na kupata mtu maarufu
Kama Hamisa angekua wa maana angeshabwaga manyanga hadharani kama zari,kwa sababu hana cha kupoteza ataishi kwa child support
Duamond ni mgumu kuhonga kwanza,ni wema tu alibahatika alipewa 50 aende china akafanyia pati,akapewa gari akaliuza kwa nyodo leo anatembelea uber bajaji
Sasa hapo kupata maarufu ndo wanahangaika kwa waganga tofauti tofauti, hawajui kuwa in this life no short cut, huyo Hamisa kashakuwa maarufu atulie afanye ya msingi, wanafikiri Zari alikuwa mjinga kuachana na hyo familia sasa acha waumbuliwe.

Wema ndo nyumbu kabisa yeye had umaarufu una muisha hamna cha maana alichofanya hajifunzi kwa kina JoJo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nilipoanza kusikiliza hizo clip wanazodai ni Hamisaanaongea na Mganga. Ila akili yangu imekataa kukubali ni sauti ya Hamisa. Ila Hamisa sasa hivi anapita kwenye magumu mengi namuonea hadi hiruma. Nadhani kuwa kimya kutamfanya aweze kuishinda hii vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo LA Hamisa Leo anachambwa kesho utakuta anachezewa kiuno na mavideo juu na huyo huyo Dai .
 
Halaf dai haonagi madhaifu ya ndugu zake,ni wa kumuacha,ukiwa na mahusiano na diamond usijulikane kabisa na ndugu zake labda mpaka ndoa tu,wale watu wagumu sana kuishi nao karibu kila mwanamke wa diamond ananp matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume asiye na msimamo na anaye msikiliza mamake hawezi dumu na wanawake aisee, I think hyo familia ingetaiiwa iwe na baba sasa bi Sandra ndo baba ukichangia na wanawake vibifu bifu visivoisha basi wanamyumbisha tu Diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo kupata maarufu ndo wanahangaika kwa waganga tofauti tofauti, hawajui kuwa in this life no short cut, huyo Hamisa kashakuwa maarufu atulie afanye ya msingi, wanafikiri Zari alikuwa mjinga kuachana na hyo familia sasa acha waumbuliwe.

Wema ndo nyumbu kabisa yeye had umaarufu una muisha hamna cha maana alichofanya hajifunzi kwa kina JoJo

Sent using Jamii Forums mobile app
wema ma kesi yake ya bange kasababisha mpaka wasanii wapigwe chini na ccm
Hamisa hawezi kumaintain status bila ya kutumia kivuli cha diamond,akili hiyo hana
Duka na kafunguliwa na diamond nyumba kapangishiwa,sijui kodi ikiisha atahamia wapi,anavyoweka masharti basi,akikataliwa anasema mbona zari umemnunulia nyumba na pete za Almasi,!
 
Mwanaume asiye na msimamo na anaye msikiliza mamake hawezi dumu na wanawake aisee, I think hyo familia ingetaiiwa iwe na baba sasa bi Sandra ndo baba ukichangia na wanawake vibifu bifu visivoisha basi wanamyumbisha tu Diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nakuambieni hata daimond amuoe nanii atakua mbaya tu tuombeni uzima,mi nashindwa kuwa upande wowote maana familia ya diamond sio ya kuitetea kabisaa,halaf kama clio imetengenezwa maana watu wakiona kuna mgogoro wanaongeza na kusuka zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wema ma kesi yake ya bange kasababisha mpaka wasanii wapigwe chini na ccm
Hamisa hawezi kumaintain status bila ya kutumia kivuli cha diamond,akili hiyo hana
Duka na kafunguliwa na diamond nyumba kapangishiwa,sijui kodi ikiisha atahamia wapi,anavyoweka masharti basi,akikataliwa anasema mbona zari umemnunulia nyumba na pete za Almasi,!
Hao wasanii bora walivopigwa marufuku huko ccm maana walikuwa na tabia mbaya chafu mfano za kina wema uhuni hafu wanapiga kampeni kwa chama dola huko sikukizalilisha chama kabisa aisee, acha wanyooke hawa wasanii.

Tatizo Hamisa maskini uelewa mdogo umaarufu umemshinda nguvu, sasa kila kukicha kwa waganga, Zari ni next level anaweza kumshauri mwanaume mambo ya msingi na anajua kutafta hela zake sasa yeye Hamisa abategemea support ya kila kitu wanaume wenyewe wa sikuhizi hawapendi magoal keeper

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom