Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa akifikisha 40 lazima awe mganga duh aliloga had Zari akabwaga manyaga aisee. Sometimes vtu vingine havihitaji uchawi ni wewe tu kuji behave vzuri, majjizo yenyewe ilimshinda tabia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa sana uchawi wa kibatari dada,tatizo haudumu
Hamisa alilenga kuwafarakanisha,na kumvuta Djiamond
Aliweza kuwafarakanisha,kazi ikawa kumvuta Diamond,hamisa alisahau kumroga mama mkwe mpaka anastuka wenzake wamemmaliza
 
Dawa zote zija expire date au anafikiri za uganga hazina. Kajisemea diamond kama unaroga, roga kazi zako ziende sio unamroga mwanaume akuoe.
 
Ogopa sana uchawi wa kibatari dada,tatizo haudumu
Hamisa alilenga kuwafarakanisha,na kumvuta Djiamond
Aliweza kuwafarakanisha,kazi ikawa kumvuta Diamond,hamisa alisahau kumroga mama mkwe mpaka anastuka wenzake wamemmaliza
Ndo shida ya hayo mambo ya uganga aisee na mond alishaingia line mamake ndo akamnasua kinguvu, na siku hyo mama mkwe alimdunda Hamisa Madale, sasa kinachomfanya amng'ang'anie mond ni nini, mama mond alishasema Kigoma hatoki boy aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom