Hamisa Mobetto ndani ya Filamu kali inayojumuisha mastaa kutoka S.Africa, Ghana, Cameroon, n.k

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Wakati bi mkubwa yeye akihangaika na Kuuza sura mlimani City, bi Mdogo ameshavamia soko LA kimataifa na siku za hivi karibuni atatokelezea katika filamu iliypigwa South Afrika na Tanzania in show a shirk misha mastaa maarufu kutoka S. Africa, Ghana, Cameroon na nyinginezo
 
Safi sana! taratibu wanaomchukulia kama hajaielewi, wataanza kubaini kuwa wao ndo hawajielewi. Mimi naona Hamisaa huwa anajuwa anachokifanya ndio maana Diamond anatoa pesa ndefu per day
 
Kwa africa watu wanaocheza movie zikawa za mataifa ni South Africa movie kama the gods must be crazy, district 9, Jerusalem, mr. Bones n.k na Zimbabwe kuna kitu nelia, yellow card, everyone's child, flame, n.k.
Waliobaki sijui Ghana na Nigeria mule mule tu movie zao hazina jipya.
 
Kwa africa watu wanaocheza movie zikawa za mataifa ni South Africa na Zimbabwe.
Waliobaki sijui Ghana na Nigeria mule mule tu movie zao hazina jipya.

Bahati nzuri hata hao Wa South Afrika wamo mkuu! kwa hiyo hawajakukosea
 
Makuuuubwa haya. Jengea bahati yako visokoropwino visipenye kuizima. Siikie neno chambua Na tenda midomo itabaki alikuwagaaa
 
Basi anajitahidi sana, kuishi mjini kuna faida😀😀By the way sijawahi kumsikia akiongea, nimeona chat zake tu. Au ndo mambo ya Google Translate!?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kawaida sana ile google translate auna lolote pale kizungu chake cha kawaida tuu wadada wa mjini wengi drama c unajua tena awapitwi na jambo
 
Kwan hadi sasa anahonga
Safi sana! taratibu wanaomchukulia kama hajaielewi, wataanza kubaini kuwa wao ndo hawajielewi. Mimi naona Hamisaa huwa anajuwa anachokifanya ndio maana Diamond anatoa pesa ndefu per day
 
hahahahha.amewahi kuigiza ipi.hawa mademu wa town shida sana
 
baadae utasikia waigizaji wa kiume wote wa movie hiyo...wamejipigia inaonekana hakatai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…