mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,336
Sasa anatafuta mtoto wa tatu..hana kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaigiza na zingine mojawapo ninayoikumbuka ni 'Crazy Love' ya marehemu Kanumba. Nyingine ameigiza na Jb DJ Ben inaitwa kama kumbukumbu zangu ziko sawaKumbe anaitwa Shamsa Ford. Hivi mbona hawamtumii kuact serious films Tanzania. Yule anaweza act hata kwenye international movies. She has not jokes, hana mambo ya kurudia rudia mambo, hajishaui na director wake alimchagua vizuri. Nampenda sana yule mtoto.
Ya mda sema ilikua haijatolewa I think ya last yrsio movie mpya hii?
Daaah!punguza chuki kidogo basiYaani watu wanashangilia filamu kwa kutumia cover!
Hamisa hana hana kipaji cha kuigiza,angeanza kung'aa bongo mavi kwanza,kama yeye ni mkali wa kuigiza.
Hizo zote ni nguvu anazotumia kushindana na zari,atafeli tu kama wema
Kwa nini mbona aliact kiukweli?Hamisa hakuitendea Haki hii chausiku.
Asante ngoja nitawaomba wanaojua hayo mambo wanitafutie mradi nione sura yake tena.Anaigiza na zingine mojawapo ninayoikumbuka ni 'Crazy Love' ya marehemu Kanumba. Nyingine ameigiza na Jb DJ Ben inaitwa kama kumbukumbu zangu ziko sawa
yanii watanzania tuna roho mbayaa.Daaah!punguza chuki kidogo basi
Hamisa ameanza kuigiza mda mbona kuna movie yuko na Ray,kuna chausiku hii yenyewe ya last year daah!chochote anachofanya anashindana na zari !
Hivi zari anaigiza wapi!!
Muwege mna hofu na Mungu kidogo!