Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
kikikiNahisi hii movie hamisa kaigiza kama msichana wa kazi...
nishawahi kuona baadhi ya vipande zamani sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kikikiNahisi hii movie hamisa kaigiza kama msichana wa kazi...
nishawahi kuona baadhi ya vipande zamani sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbeNahisi hii movie hamisa kaigiza kama msichana wa kazi...
nishawahi kuona baadhi ya vipande zamani sana
yaani yeye anaishi kwa matunzo ya watoto now huko kenya hata mshono haujapona sawasawa kapelekwa na sugar dady wake kutoka tz yaani yule mtoto papuche yake kama lawalawabaadae utasikia waigizaji wa kiume wote wa movie hiyo...wamejipigia inaonekana hakatai
Ana elimu gani huyu mrembo mpenda child support? Ana English nzuri, haina 'you know' nyingi kama ya Wema😛😛
Ini au? leaver!Form 4 liver...
Swali aliigiza kama nani maana mimi filamu pekee niliyoiangalia na kuipa point ni Chausiku. Mhusika mkuu hawezi linganishwa na mwanamke yeyote Bongo kwa jinsi alivyouvaa uhusika wake. Ilibidi ninunue hiyo kanda. Huyu sidhani kama anaweza kuwa chausiku.Kuna movie hapa Bongo kaigiza inaitwa Chausiku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ana elimu gani huyu mrembo mpenda child support? Ana English nzuri, haina 'you know' nyingi kama ya Wema😛😛
Alikua ni mwanammke ambae walichagua familia ya chausiku kuwa ndie awe mwanammke wake.... alikua RichgirlSwali aliigiza kama nani maana mimi filamu pekee niliyoiangalia na kuipa point ni Chausiku. Mhusika mkuu hawezi linganishwa na mwanamke yeyote Bongo kwa jinsi alivyouvaa uhusika wake. Ilibidi ninunue hiyo kanda. Huyu sidhani kama anaweza kuwa chausiku.
Hivyo eeh? Sikuwahi kujuaAlikua ni mwanammke ambae walichagua familia ya chausiku kuwa ndie awe mwanammke wake.... alikua Richgirl
Kaigiza nafasi yake, kama msichana msomi ana maisha mazuri...ikoje? nzuri? manake mademu wa bongo ni wauzaji wa k na sio kuigiza..hao wote bongo muvi hao
Liver [emoji117] Leaver .... naamin kidole kiliteleza kiongoz .... but tuko pamojaForm 4 liver...
Kwa kweli ile picha Shamsa Ford kaigiza vizuri balaa na wale mashoga zake, ile picha naweza iangalia ht mara 20.Swali aliigiza kama nani maana mimi filamu pekee niliyoiangalia na kuipa point ni Chausiku. Mhusika mkuu hawezi linganishwa na mwanamke yeyote Bongo kwa jinsi alivyouvaa uhusika wake. Ilibidi ninunue hiyo kanda. Huyu sidhani kama anaweza kuwa chausiku.
Brad Pitt wa Manzese?Kuna movie nyingine kaigiza na Brad Pitt.
Naamini unajuwa kutamka ila spelling ni utata kwako.Liver [emoji117] Leaver .... naamin kidole kiliteleza kiongoz .... but tuko pamoja
Umeisahau Tsotsi.Kwa africa watu wanaocheza movie zikawa za mataifa ni South Africa movie kama the gods must be crazy, district 9, Jerusalem, mr. Bones n.k na Zimbabwe kuna kitu nelia, yellow card, everyone's child, flame, n.k.
Waliobaki sijui Ghana na Nigeria mule mule tu movie zao hazina jipya.