Hamisa Mobetto ndani ya Filamu kali inayojumuisha mastaa kutoka S.Africa, Ghana, Cameroon, n.k

baadae utasikia waigizaji wa kiume wote wa movie hiyo...wamejipigia inaonekana hakatai
yaani yeye anaishi kwa matunzo ya watoto now huko kenya hata mshono haujapona sawasawa kapelekwa na sugar dady wake kutoka tz yaani yule mtoto papuche yake kama lawalawa
 
Ana elimu gani huyu mrembo mpenda child support? Ana English nzuri, haina 'you know' nyingi kama ya Wema😛😛

"..We'll take whatever blows rained on us like the men we're"-Tundu Lissu.

Hope she takes this blow as a critique and no hate.
 
Alikua ni mwanammke ambae walichagua familia ya chausiku kuwa ndie awe mwanammke wake.... alikua Richgirl
 
ikoje? nzuri? manake mademu wa bongo ni wauzaji wa k na sio kuigiza..hao wote bongo muvi hao
Kaigiza nafasi yake, kama msichana msomi ana maisha mazuri...
Chausiku ni Shamsa Ford mwanammke wa uswazi
anapendwa na kaka mmoja hivi anaitwa Rammy G ,aliesoma nje ya nchi kwao wanapesa..
wakati huo huo familia ya Rammy wana mchagulia Hamisa ndio aolewe na mtt wao, na Rammy hamtaki hamisa anamtaka chausiku
 
Kwa kweli ile picha Shamsa Ford kaigiza vizuri balaa na wale mashoga zake, ile picha naweza iangalia ht mara 20.
 
Umeisahau Tsotsi.
 
Movie sijaiona lakini ni kali sana, Zari atasubiri sana mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…