Hamisa Mobetto ndani ya Filamu kali inayojumuisha mastaa kutoka S.Africa, Ghana, Cameroon, n.k

Alikua ni mwanammke ambae walichagua familia ya chausiku kuwa ndie awe mwanammke wake.... alikua Richgirl
Aha kumbe! Yule aliyekuwa anamfundisha miondoko? Nashukuru maana mimi sinema za Bongo sizifahamu ila hii niliiangalia kwenye basi, kuanzia siku hiyo nikaitafuta mpaka nikainunua. Sijui hata nilipoiweka but Chausiku sitamsahau. She acted to her best. Hivi anaitwa nani na alishaact film nyingine huyu Chausiku? Usinichoke bibi mie.
 
Kwa kweli ile picha Shamsa Ford kaigiza vizuri balaa na wale mashoga zake, ile picha naweza iangalia ht mara 20.
Kumbe anaitwa Shamsa Ford. Hivi mbona hawamtumii kuact serious films Tanzania. Yule anaweza act hata kwenye international movies. She has not jokes, hana mambo ya kurudia rudia mambo, hajishaui na director wake alimchagua vizuri. Nampenda sana yule mtoto.
 
Yaani watu wanashangilia filamu kwa kutumia cover!
Hamisa hana hana kipaji cha kuigiza,angeanza kung'aa bongo mavi kwanza,kama yeye ni mkali wa kuigiza.
Hizo zote ni nguvu anazotumia kushindana na zari,atafeli tu kama wema
 
ameigiza nyingi sana japo sizijui majina
 
Nimeuliza, umesema kuwa ulishaona vipande vya movie zamani, ndo nauliza hii movie si mpya??? Au? Make naona ndo inatangazwa coming soon
yes niliona mwaka huu miezi ya <5
ila mwaka huu huu alikua anaigiza kama anapigwa na mwenye nyumba ni drama movie nahisi, Lugha wanatumia English
 
Hivi mbona watu mnachuki sana?? Why usi aporeciate hatua ya mwenzako?? Yani huu utimu unatoa akili za watu
 
Hamisa hakuitendea Haki hii chausiku.
 
Nilikuwa namanisha leaver ujaelewa nini sasa yani umu jf kuna mak*ma wanajikuta wasomi kis*nge yani ukikosea kidogo tuu awo kama awajaelewa vile me wananiuzi kis*ng* yani mrekebishe mtu kistarabu na c kujikuta ww ndo unajua sana stupid....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…